Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Eti mbeleko kwani na nyie msiwe mabingwa na ndumba zenu?Mbeleko FC ndo mabingwa wa nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mbeleko kwani na nyie msiwe mabingwa na ndumba zenu?Mbeleko FC ndo mabingwa wa nchi
Huyo huyo ndio tumhitaji hili ni jukumu la kitaifa tunakupaHyo mbegu fupi sana jamani khaaa
Wape wadau wenye nafasi hapo unanipa dhambiHuyo huyo ndio tumhitaji hili ni jukumu la kitaifa tunakupa
Vipi lini mnaruka tena ukuta?Sawa mbeleko FC
Unatania kwenye kumtafuta au kwenye kuolewa?Huyu Bocco ingekua sijaolewa ningemtafuta. Natania wadauuu hahahahha
Yule si ni Konde boy,zunguka Dunia nzima akuna mmakonde mrefu(jokes)[emoji23]Hyo mbegu fupi sana jamani khaaa
Unaonaje hapo mkuu? Au sentensi tata?Unatania kwenye kumtafuta au kwenye kuolewa?
Hapo sijaelewa kitu kwakweli.Unaonaje hapo mkuu? Au sentensi tata?
Alihitaji kuhamishiwa goli ili atleast iwe goal kick.huyu Gadiel ni mchezaji wa Yanga
Yaan Simba wanakosa goals 4 kwa hiki kitimu kinashuka darajaunatamani Simba acheze kila siku
Nipo bench saivi hata kama umeolewa🙂Huyu Bocco ingekua sijaolewa ningemtafuta. Natania wadauuu hahahahha