Athari za kuingiliwa na LIBOLO hizi, bora kuwa mtazamaji kuliko kutiwa goli na Libolo
Mtu aliyekubaka nyumbani kwako kwake atakuacha kweli?
FT Simba SC 0 - 1 R Libollo..
Waulize Zamalek na Mufurila Wanderers wana majibu
Hao Hao Looserpool ila wanaongoza 1-0 utamtaka Suarez
Yaap. Kesho ofisini kazi zitafanyika. Halafu mimi nitajifanya sijui kama kulikuwa na mechi
Waulize Zamalek na Mufurila Wanderers wana majibu
Nyau..........hahahahahaaa!Uchungu wa LIBOLO aujuaye........!?
Uchungu wa LIBOLO aujuaye........!?
Waulize Zamalek na Mufurila Wanderers wana majibu
Vichwa vya habari vya magezeti
*simba yachanwachanwa na libolo
*simba yapigwa libolo
*libolo came from behind to beat simba
*simba hoi kwa libolo
*simba yaimeza libolo
*simba yaila libolo
*simba yaitafuna libolo