Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

"Nawashukuru Azam media Kwa kuonyesha uwezo wao Na ubabe wa kuonyesha mechi nane Kwa wakati mmoja,AFCON walishindwa, Azam wameweza. hii inaonesha umahiri walio nao...Mechi nane Kwa wakati mmoja!Sio Jambo dogo ujue? mpaka Sinema zetu Leo wameonesha mechi,,Utopolo imeoneshwa channeli Gani? Sinema zetu au??''
-Maalim Haji Manara
 
90+3' Bocco Goooooooooooooaaal Goooooooooaaal

John Bocco anaipatia Simba SC bao la Nne kwa mkwaju wa Penati na kukitwaa kiatu cha dhahabu kwa kufunga mabao 16 akifuatia Mugalu 15 na Kagere 14.

Hii safu ya ushambuliaji ni moto.
Ni hatari na nusu.
 
20210718_185132174731.jpg

Die hard fan
 
Back
Top Bottom