Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Lazima watu wakushangae, unaongea pumba😀 mbona una jazba hivyo mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima watu wakushangae, unaongea pumba😀 mbona una jazba hivyo mzee baba
Cha kujifunza ni kwamba mchezaji Mzawa akikaza anaweza kuwafunika wageni.Nimefarijika kwa Bocco kupata Hilo goli.
Dube yule mwamba ni mfungaji asilia,,,anastahili pongezi sanaSi mchezo wapi dube [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyekuwa Na uchu Sana Na uchoyo Ni kagerehadi anakuwa mchoyo yani
Mbwa koko wajiandae na kipigo kitukufu Kigoma.Mabingwaaaaaaaaaaaaaaa kibingwaa. Wale wanga wajiandae mbwa wale
Jibu swali acha porojo😀 mbona una jazba hivyo mzee baba
Sawa na u asilia wake. Bocco kinaraDube yule mwamba ni mfungaji asilia,,,anastahili pongezi sana
Ni hatari na nusu.90+3' Bocco Goooooooooooooaaal Goooooooooaaal
John Bocco anaipatia Simba SC bao la Nne kwa mkwaju wa Penati na kukitwaa kiatu cha dhahabu kwa kufunga mabao 16 akifuatia Mugalu 15 na Kagere 14.
Hii safu ya ushambuliaji ni moto.
Sema MABINGWA 2020/2021 nguruwe weweMbwa koko wajiandae na kipigo kitukufu Kigoma.
D😀😀:mkuu uko vyombo nini?Sema MABINGWA 2020/2021 nguruwe wewe
wanatukanana tu huko. oteaOya uto wametoka ngapi uko?