Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

Shabani Msalla man of the match..hv Yanga La liga hamjamuona huyu
 
Punguzeni Ngenga mpira hauchezwi Insta. [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ha ha ha ..Yaani mpira una maajabu sana..Hapo nani ambaye Mkunungu kati ya anayecheza Insta ana alama 72 kibindoni na yule anacheza Facebook hata nafasi ya pili anahangaika kuipata.

Simba SC NguvuMoja Mnyama Mkali Kulitaka Kulipewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…