samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Hata ningekuwa Mimi ningefurahi, Utopolo wamezidiwa alama 18 na Simba na hawana matarajio yoyote kwenye VPL wala FADeportivo la utopolo wanafurahia sana haya matokeo
Alikuambia atakuwepo hapa muda wote, hata kama mpira umemalizika Taifa unadhani hana kazi zingine za kufanya?Simuoni tena mtoa mada naona kakimbia
Ukiwakusanya mashabiki wa Utopolo 10 utawapata wenye utimamu wa akili ni wawili ama watatu ndo wanajua nini maana ya utani huwezi kukuta wanatukana kisa mpira, wengi waliosalia akiwemo Bumbuli na wewe hapo ni Group moja la WhatsApp[SUP]mamayo zenu, mikia fc mnacho jua ni kubwabwaja tuu na kupenyeza lupia, yaani litim la ovyo ovyo kabisa kuzidi kakonko fc, adi huruma[/SUP]
Asante kwa kukiri kwamba uzembe wote unapatikana Utopolo Deportivo de Mkunungu FCKwa timu hii tar 8 kuwafunga goli moja ni uzembe wa Yanga
Mtani kasome post no.#126 hebu.Ha ha ha ..Yaani mpira una maajabu sana..Hapo nani ambaye Mkunungu kati ya anayecheza Insta ana alama 72 kibindoni na yule anacheza Facebook hata nafasi ya pili anahangaika kuipata.
Simba SC NguvuMoja Mnyama Mkali Kulitaka Kulipewa.
Tuzidi kuwashauri chepesi kutabiri huwa ni mvua tu. 😅😅😅Wamepapaswa
Hahahaaaa. Lol.Hapo roho yako burudaaani mwenyewe.. haya tufanye nyie ndio mnaongoza ligi!🤔
Hahahaaaa. Lol.
Kaka hapa nazisubiria kwa hamu zile points 100 mnazotupigia kelele kuwa mtazifikisha.
Hivi muhindi Katia m ngapi kwenye akaunti ya mikia? Au anaendesha klabu kama Mo energy?Asante kwa kukiri kwamba uzembe wote unapatikana Utopolo Deportivo de Mkunungu FC
Wangesema Simba kauli hii umelalamika
Hakika imeisshhaaaa hiyooImeisha hiyoooo😂😂
Wana pa kutoka basi jirani cha zaidi wamenusurika kupapaswa. Yaani hooii.Mtani hhawa mkia fc wametokaje huko???
Hapa anachungulia na kusepa. 🤣🤣Mtani wetu anawahi sana kuanzisha uzi mechi za Yanga.
Huyu kocha pumbavu anatakiwa kupanga hivyo tukishabeba ubingwaNilimwambia li kikosi alopanga kocha ni utopolo mtupu akanibeza
We hujaeleweka bado una wenge na yale mabadiliko ya Chief Mangungo wa Msowero...Ebu malizana na Laliga kwanza kisha uje hapa..!Hivi muhindi Katia m ngapi kwenye akaunti ya mikia? Au anaendesha klabu kama Mo energy?