Simba SC wana jambo la kujifunza

Ukiwa na pesa berthday party unaifanyia dubai... ukiwa mlala hoi ukumbuki tarehe yako ya kuzaliwa. Acha watu wafurahie pesa zao
 
Ukiwa na pesa berthday party unaifanyia dubai... ukiwa mlala hoi ukumbuki tarehe yako ya kuzaliwa. Acha watu wafurahie pesa zao
Yes furahieni hela zenu huku mkikata tamaa mdogomdogo na league ikianza msije anza kulia mkasahau mmezitumia zikaisha.
 
Kati ya Simba na Yanga nani wa kwanza kwenda Turkey??
Hawa waliopo au unahangaika na hadithi za zamani za kale?Si mazoezi tu.Pia ni motisha kwa timu.Ninyi mkienda Nalyendele kwani kuna mtu atawadai tiketi za kielektroniki na pasipoti?Apangaye alishachagua.Tulia hivyohivyo ubugizwe matoke.
 
Reactions: BRN
Ramli chonganishi
 
Hawa walipo au unahangaika na hadithi za zamani za kale?Si mazoezi tu.Pia ni motisha kwa timu.Ninyi mkienda Nalyendele kwani kuna mtu atawadai tiketi za kielektroniki na pasipoti?Apangaye alishachagua.Tulia hivyohivyo ubugizwe matoke.
[emoji23][emoji23] mpira na majigambo havijawahi kwenda sawa mkuu
 
Nadhani huna historia.Yawezekana ulikuwa omwana sana siku hizo Simba akifanya yake wewe bado ukiitwa jina la uji Kaizirege.
[emoji23][emoji23] unajikuta uli mushaija sana wanaman Simba hamkuwahi shiriki nusu fainal Shirikisho tangu kuanzishwa kwenu!
 
Ni furaha iwapo kolo atafukuza kocha hata wakati huu wa pre season😂😂😂.
 
[emoji23][emoji23] unajikuta uli mushaija sana wanaman Simba hamkuwahi shiriki nusu fainal Shirikisho tangu kuanzishwa kwenu!
Yanga hajawahi kucheza Nusu Fainali Klabu Bingwa tangu kuanzishwa kwake,Simba amecheza mwaka 1974
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…