Simba sc wapoteana Zanzibar ,hali tete imejitokeza kwenye benchi la ufundi ,viongozi watoka jukwaani na kuingilia kati

Ndio maana mpira wa bongo nshaacha kufuatilia . Yaani mchezaji anatolewa kwa maamuzi halali ya mwalimu halafu eti anasusa . Cha kushangaza viongozi wanatoka walipoketi wanakuja kumbembeleza hahaha
Tukitaka tuendelee mpira wetu tuufanye "kisayansi" ........quite unprofessional
Mbona Nane naye alikasirikaaa?
 
Klabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman

Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde chache kabla ya mapumziko. URA wanaungana na Azam hatu ya Nusu Fainali

=====================================================

Klabu ya simba yenye kikosi chenye thamani ya Billion 2 kasoro kidogo inaendeleza wimbi la kufanya vibaya huko Zanzibar.

Ikiwa wametoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam siku 2 zilizopita muda huu wapo uwanjani wanachuana na URA ya Uganda na "This is simba" wapo nyuma kwa goli 1 lakini jambo lakushangaza bench la simba limepoteana

Mchezaji kichuya kafanyiwa sabu na mwalimu lakini jambo la kustaajabisha nyota huyo katoka kwa hasira nje huku akiwa amefura na akimpita mwalimu wake mithili ya polisi aliyemuona mwizi na kulikacha benchi la ufundi na kusepa zake

Viongozi waandamizi wa Simba sc roho zipo juu wametoka jukwaani na kwenda kutuliza hali ya sintofahamu mpaka muda huu kimenuka hali sio hali ,kichuya haelewi ,bench Ia ufundi limefura ..vita kubwa inaendelea

4d7352d490edffb4f5ad35ef82ba08a3.jpg

Viongozi wa simba sc waliotoka jukwaani kwenda kutuliza mambo ila kichuya haelewi ,..wakubwa wanaongea yeye kaweka earphone masikioni
Daaah inasikitisha sana yaani hawa ndio wachezaji wetu wa bongo,,tambua kwamba timu inaundwa na wachezaji wengi so mwalimu anapokutoa siyo kwamba haujui Ila ni maono yake,, sasa kichuya kamaind kutoka,,afu hata mkude nae katoka kaenda kupiga story na jamaa nje,,,nafikiri leo ndio mmeamini Maneno ya Edo kumwembe,,simba imekosa wanaume bado ina vivulana.Na hivyo vivulana ndio akina kichuya
 
Yamkini kuna mambo hatuyajui kuhusu uhusiano wa Kocha Djuma na wachezaji wake hata hivyo viongozi wamekosea sana kwenda kumbembeleza huyo bwana mdogo kichuya. Hao viongozi wawaombe radhi mashabiki wao kwa kumnyenyekea Kichuya halafu huyo bwana mdogo aonjeshwe kile alichokutana nacho Yahaya Toure pale manchester City wakati wanatunishiashiana misuli na kocha mkuu. Kwa upande mwingine Simba inabidi wafurahi kwa kufungwa huko Zanzibar kwani itakuwa funzo tosha kwa kocha Djuma kwamba huwezi kufundisha timu mfumo mpya wakati wa mashindano, kilichowakumba simba ndicho kilichowakumba Kilimanjaro Star kule katika CECAFA Challenge Cup. Pia hili liwe darasa tosha kwa Ammy Ninje , Masoud Djuma na wengine kwamba mpira hauchezwi mdomoni bali uwanjani.

Klabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman

Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde chache kabla ya mapumziko. URA wanaungana na Azam hatu ya Nusu Fainali

=====================================================

Klabu ya simba yenye kikosi chenye thamani ya Billion 2 kasoro kidogo inaendeleza wimbi la kufanya vibaya huko Zanzibar.

Ikiwa wametoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam siku 2 zilizopita muda huu wapo uwanjani wanachuana na URA ya Uganda na "This is simba" wapo nyuma kwa goli 1 lakini jambo lakushangaza bench la simba limepoteana

Mchezaji kichuya kafanyiwa sabu na mwalimu lakini jambo la kustaajabisha nyota huyo katoka kwa hasira nje huku akiwa amefura na akimpita mwalimu wake mithili ya polisi aliyemuona mwizi na kulikacha benchi la ufundi na kusepa zake

Viongozi waandamizi wa Simba sc roho zipo juu wametoka jukwaani na kwenda kutuliza hali ya sintofahamu mpaka muda huu kimenuka hali sio hali ,kichuya haelewi ,bench Ia ufundi limefura ..vita kubwa inaendelea

4d7352d490edffb4f5ad35ef82ba08a3.jpg

Viongozi wa simba sc waliotoka jukwaani kwenda kutuliza mambo ila kichuya haelewi ,..wakubwa wanaongea yeye kaweka earphone masikioni
 
Klabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman

Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde chache kabla ya mapumziko. URA wanaungana na Azam hatu ya Nusu Fainali

=====================================================

Klabu ya simba yenye kikosi chenye thamani ya Billion 2 kasoro kidogo inaendeleza wimbi la kufanya vibaya huko Zanzibar.

Ikiwa wametoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam siku 2 zilizopita muda huu wapo uwanjani wanachuana na URA ya Uganda na "This is simba" wapo nyuma kwa goli 1 lakini jambo lakushangaza bench la simba limepoteana

Mchezaji kichuya kafanyiwa sabu na mwalimu lakini jambo la kustaajabisha nyota huyo katoka kwa hasira nje huku akiwa amefura na akimpita mwalimu wake mithili ya polisi aliyemuona mwizi na kulikacha benchi la ufundi na kusepa zake

Viongozi waandamizi wa Simba sc roho zipo juu wametoka jukwaani na kwenda kutuliza hali ya sintofahamu mpaka muda huu kimenuka hali sio hali ,kichuya haelewi ,bench Ia ufundi limefura ..vita kubwa inaendelea

4d7352d490edffb4f5ad35ef82ba08a3.jpg

Viongozi wa simba sc waliotoka jukwaani kwenda kutuliza mambo ila kichuya haelewi ,..wakubwa wanaongea yeye kaweka earphone masikioni
utovu wa nidhamu, yeye nani..mbona hajafunga game za awali....anafanyiwa sub cr7 ije iwe yeye.....akwende zake
 
Kama msemaji wao huyu anachonga sana ana kejeli nyingi sana oh mchezaji wao mmoja tu ni sawa na wachezaji kumi wa timu zingine manara na tambo zake za kitoto
 
Kichuya Karibu Yanga

Yanga ya wapi...akae huko huko aliko...hatutaki mchezaji ambaye anajiona staa wakati hata miaka mitatu hajafikisha kwenye timu...who is kichuya by the way??? Yanga hawataki 'michezaji' ya aina hiyo yenye 'kiburi cha wazi'...hata heshima hamna????
 
Huyu angekutana na Alex ferguson ndo angejua kiburio sio Maungwana.Beckham alileta nyodo akapigwa bei fasta tu.

Jaap stam yeye aliuzwa na ferguson wakiwa kwenye kituo cha mafuta(petrol station) kama mzaha vile hahah
 
Wanawekwa bench akina Sadio Mane seuse wewe Kichuya? Who are you by the way? Jinga kabisa eti limeweka makamba masikioni!
 
Bila nidhamu hakuna mafanikio popote halafu ukimuuliza huyu atakwambia malengo yangu ni kucheza ulaya mweeeh ajabu na kweli
 
Back
Top Bottom