Simba sc wapoteana Zanzibar ,hali tete imejitokeza kwenye benchi la ufundi ,viongozi watoka jukwaani na kuingilia kati

Wachezaj wa kibongo bhana wanajiona mastaa sana hivi inakuwaj mchezaj anafikia kuwa na kiburi namna hii kwamba yuko juu ya team au ndio viongoz wanawalea vibaya mchezaj hajaperform kocha anamtoa ili kumwingiza MTU mwingine la ajabu MTU anasusa bench anaenda kukaa na mashabik anafuatwa na viongoz anaweka earphone hiki kibur Ferguson alikuwa anapiga wat na viatu enzi zake huyu kichuya hajaipa mafanikio yoyot Simba zaid ya kufunga mechi za yanga tu Simba wamepita wat bora sana zaid yake walioipa team mataj na mafanikio kina Emmanuel Gabriel, ulimboka mwakingwe,Yusuf macho,mohhamed hussein, seleman matola,mgosi nk
 
Inabidi Benchi la ufundi na kamati ya nidhamu ya Simba imuite Kichuya na kumuuliza maana ya tabia hii aliyoionesha.
Na ni lazima apewe onyo la maandishi au maneno.
Tabia hii haipaswi kurudiwa tena na mchezaji yeyote wa timu yoyote.
 
mtz1_mtz3231.jpg
 
Kwa mujibu wa Blogu ya Boiplus, Kocha mwenyewe anakiri kwamba aliwaruhusu wachezaji hao waondoke kwenye benchi ili wakapatiwe ‘massage’ vyumbani kwa jinsi walivyokuwa wamechoka (ingawa hatukuwaona wakiingia vyumbani, na muonekano wa Haji Manara kwa Kichuya ulikuwa ni wa kunasihi si kutoa pole). Kwa hivyo kama kuhojiwa na Uongozi ni yeye kocha, iwapo kweli alifanya hivyo. Kwa sababu kanuni za mchezo huu adhimu ziko wazi kwamba anayetakiwa kutoka benchi ni mchezaji aliyetolewa kwa kadi nyekundu tu. Iweje kocha ajipe madaraka ya FIFA, kubadilisha kanuni Agenda Yao? Sidhani kama kwa hilo ana sifa ya kuwa kocha, hasa wa timu kubwa kama Simba. La kama alikuwa akiwatafutia wachezaji wake njia ya kutokea tu, atakuwa amedhihirisha udhaifu mkubwa unaomfanya pia asifae kuwa kocha wa Simba. Kwa sababu hapo atakuwa anacheza siasa kwenye mpira, kazi ambayo kwa sasa anaifsnya Haji Manara. Labda yeye kocha kazi ya ufundishaji imemshinda, anautaka u-Haji Manara! Nilibaini hivyo tangu kwenye mkutano wake wa kwanza na wanahabari, alipodi begi lake liko wazi kujiandaa kurudi. Alikuwa akijitangazia u-kocha mkuu, maana labda iwe kwa namna ya kipekee, la sivyo mara zote anayetimuliwa ni kocha mkuu, si msaidizi wake.
 
Masahihisho
anayetakiwa kutoka = anayetakiwa kutokaa
kubadilisha kanuni Agenda Yao? = kubadilisha kanuni yao?
 
pamoja yotr ya kichuya ukweli ni kuwa mfumo wa 3-5-2 au 5-3-2 unakwenda kummaliza kichuya maana utamuhitaji acheze kama wingback kitu ambacho ni kigumu sana kwake.
Hawezi kuwa pro; ni matusi kwa mchezaji mwenzie alieingia inabid amuombe msamaha amemdharau mno!Kichuya ni mchezaji wa kawaida ameoteshwa mapembe na watu kama wewe
 
mfumo mpya wa Simba si wa katikati ya Ligi kwa sababu kwanza unahitaji wachezaji wawe mechanics kwanza yaani wafanye sana mazoezi na kuuzoea kadhalika wachezaji ambao ni vijana kukabilianna na stamina ya mfumo wenyewe maana hakuna kutegeana ...ama badu hata miundo mbinu ya kwetu haiswihi mfumo huu maana wachezaji wanachoka kwa safari ndefu za mabasi......simba wachezaji wengi wamechoka kwa sasa in terms of age kwa mfumo huu na mbaya zaidi unatambulishwa katikati ya Ligi.........

ukiacha yote, wachezaji wengi wa bongo wanataka mchekea sana
 
Hawezi kuwa pro; ni matusi kwa mchezaji mwenzie alieingia inabid amuombe msamaha amemdharau mno!Kichuya ni mchezaji wa kawaida ameoteshwa mapembe na watu kama wewe

Ni kwlei kabisa!
ila bahati mbaya sihusiki na hiyo simba yako mimi ni yanga, so kwangu kichuya namshahuri anedelee na wembe huo huo agome tu!
 
Back
Top Bottom