balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mbona Nane naye alikasirikaaa?Ndio maana mpira wa bongo nshaacha kufuatilia . Yaani mchezaji anatolewa kwa maamuzi halali ya mwalimu halafu eti anasusa . Cha kushangaza viongozi wanatoka walipoketi wanakuja kumbembeleza hahaha
Tukitaka tuendelee mpira wetu tuufanye "kisayansi" ........quite unprofessional
Pole mtani.....Pole yetu
Kichuya Karibu Yanga
Daaah inasikitisha sana yaani hawa ndio wachezaji wetu wa bongo,,tambua kwamba timu inaundwa na wachezaji wengi so mwalimu anapokutoa siyo kwamba haujui Ila ni maono yake,, sasa kichuya kamaind kutoka,,afu hata mkude nae katoka kaenda kupiga story na jamaa nje,,,nafikiri leo ndio mmeamini Maneno ya Edo kumwembe,,simba imekosa wanaume bado ina vivulana.Na hivyo vivulana ndio akina kichuyaKlabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman
Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde chache kabla ya mapumziko. URA wanaungana na Azam hatu ya Nusu Fainali
=====================================================
Klabu ya simba yenye kikosi chenye thamani ya Billion 2 kasoro kidogo inaendeleza wimbi la kufanya vibaya huko Zanzibar.
Ikiwa wametoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam siku 2 zilizopita muda huu wapo uwanjani wanachuana na URA ya Uganda na "This is simba" wapo nyuma kwa goli 1 lakini jambo lakushangaza bench la simba limepoteana
Mchezaji kichuya kafanyiwa sabu na mwalimu lakini jambo la kustaajabisha nyota huyo katoka kwa hasira nje huku akiwa amefura na akimpita mwalimu wake mithili ya polisi aliyemuona mwizi na kulikacha benchi la ufundi na kusepa zake
Viongozi waandamizi wa Simba sc roho zipo juu wametoka jukwaani na kwenda kutuliza hali ya sintofahamu mpaka muda huu kimenuka hali sio hali ,kichuya haelewi ,bench Ia ufundi limefura ..vita kubwa inaendelea
Viongozi wa simba sc waliotoka jukwaani kwenda kutuliza mambo ila kichuya haelewi ,..wakubwa wanaongea yeye kaweka earphone masikioni
Klabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman
Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde chache kabla ya mapumziko. URA wanaungana na Azam hatu ya Nusu Fainali
=====================================================
Klabu ya simba yenye kikosi chenye thamani ya Billion 2 kasoro kidogo inaendeleza wimbi la kufanya vibaya huko Zanzibar.
Ikiwa wametoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam siku 2 zilizopita muda huu wapo uwanjani wanachuana na URA ya Uganda na "This is simba" wapo nyuma kwa goli 1 lakini jambo lakushangaza bench la simba limepoteana
Mchezaji kichuya kafanyiwa sabu na mwalimu lakini jambo la kustaajabisha nyota huyo katoka kwa hasira nje huku akiwa amefura na akimpita mwalimu wake mithili ya polisi aliyemuona mwizi na kulikacha benchi la ufundi na kusepa zake
Viongozi waandamizi wa Simba sc roho zipo juu wametoka jukwaani na kwenda kutuliza hali ya sintofahamu mpaka muda huu kimenuka hali sio hali ,kichuya haelewi ,bench Ia ufundi limefura ..vita kubwa inaendelea
Viongozi wa simba sc waliotoka jukwaani kwenda kutuliza mambo ila kichuya haelewi ,..wakubwa wanaongea yeye kaweka earphone masikioni
utovu wa nidhamu, yeye nani..mbona hajafunga game za awali....anafanyiwa sub cr7 ije iwe yeye.....akwende zakeKlabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman
Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde chache kabla ya mapumziko. URA wanaungana na Azam hatu ya Nusu Fainali
=====================================================
Klabu ya simba yenye kikosi chenye thamani ya Billion 2 kasoro kidogo inaendeleza wimbi la kufanya vibaya huko Zanzibar.
Ikiwa wametoka kupoteza mchezo dhidi ya Azam siku 2 zilizopita muda huu wapo uwanjani wanachuana na URA ya Uganda na "This is simba" wapo nyuma kwa goli 1 lakini jambo lakushangaza bench la simba limepoteana
Mchezaji kichuya kafanyiwa sabu na mwalimu lakini jambo la kustaajabisha nyota huyo katoka kwa hasira nje huku akiwa amefura na akimpita mwalimu wake mithili ya polisi aliyemuona mwizi na kulikacha benchi la ufundi na kusepa zake
Viongozi waandamizi wa Simba sc roho zipo juu wametoka jukwaani na kwenda kutuliza hali ya sintofahamu mpaka muda huu kimenuka hali sio hali ,kichuya haelewi ,bench Ia ufundi limefura ..vita kubwa inaendelea
Viongozi wa simba sc waliotoka jukwaani kwenda kutuliza mambo ila kichuya haelewi ,..wakubwa wanaongea yeye kaweka earphone masikioni
Kichuya Karibu Yanga
Hivi Kichuya ni lazima acheze?