Simba sc wapoteana Zanzibar ,hali tete imejitokeza kwenye benchi la ufundi ,viongozi watoka jukwaani na kuingilia kati

pamoja yotr ya kichuya ukweli ni kuwa mfumo wa 3-5-2 au 5-3-2 unakwenda kummaliza kichuya maana utamuhitaji acheze kama wingback kitu ambacho ni kigumu sana kwake.
Kuna wapuuzi wanaongea ongea upuuzi tu, wakidhani kupiga soka ni lele mama, kichuya anahaki ya kukasirikaa kabisa

Na kwa namna Inaonekana huyu kocha ana Umorinho ndani yake sio buree!
 
Mo ana gundu sana na soka .
 
juzi kapigwa bao na azam,nahawa waganda piga tena bao,lazima ufubae
 
Simba kuna maeneo kadhaa walikosea wao kwanza kufanya mambo kiushabiki zaidi kushinda reality mfano usajili wapesa nyingi usiona maana kumleta boco ambae tayri anaonekana soka lishaanza mpa mkono wa byebye,usajili wa okwi ambae baada ya kuuzwa huko alikoenda hajafanya maajabu yoyote karudi bongo katupi nne kwa timu iliyo kuwa disorganized leo kastuck na goli zake takrbani mechi sita mfululizo hajafunga,usajili wa gari la mkaa kapombe msimu unakwenda ukingoni haj chez mechi hta moja ya ligi,usajili wakukomoa wa niyonzima ambae fika walijua alikuwamtovu wanidhamu yanga kila alipopata mapumziko alidemand kuongezwa mshahara iliarudi
Haya usajili uliokosa jicho la mwalimu kingine kuwanyang'anya wakongwe wa timu unahodha nakuwapa wageni wasioijua simba mfano man united leo yupo pogba aliekuja kwa hela nyingi lakini timu ipo chini ya valencia,young na carrick
 
mfumo hauchezi...michezaji yenyewe haijitumi na haitambui wajibu wao, magoli mangapi wamekosa siku za azamu? au kufunga magoli nao mfumo? kaka wachezaji wa tanzania hata ungewaletea Pep G , Bado wangechamba, shida hawana misingi mizuri ya soka la utotoni ambapo ndo mchezaji hupikwa,
 
Huyo Kichuya Jinga kweli viongozi wanamubembeleza kama mtoto kisa star.

Viongozi nao malofa tu.
Huyo Kichuya anashangaza sana, inamaana anataka acheze yeye peke yake sikuzote.
Sub ni jambo la kawaida kwa kila mchezaji.
Lakini ameonesha hamu ya kucheza mpira kwenye timu yake.
 
Hajitambui huyo, Kwanza alitolewa kwa usahihi kabisa, mpira ulimzidi nguvu, wale jamaa wa URA ni wazito sana kiafya.
 
Ni kweli kabisa
 
yaani mtu kaonyesha nidhamu mbovu kwa mwalimu halafu anaenda kubembelezwa na viongozi....hapo mwalimu ndo aonekane kakosea?, balotel alikuwa na utovu wa nidhamu kiasi hicho leo hii kipaji chake kinafifia
 
Ndio anataka kwenda kucheza Ulaya huyo ?
Huko hao wenzake akina C 7 na Mesi wanatolewaga pia sasa yeye atacheza timu gani ?
Kumbe bato mtoto namna hii, Mwaka huu Simba tuna mambo mengi ya ku stajabisha na kushangaza. tusubiri mengine
 
na viongozi wamezidi kumpa kichwa ,si uliona kiongozi anambeleza....baadhi ya wanachama na mashabiki pia wanawapa kichwa wachezaji kwa kusema timu ni kubwa kuliko kocha...sasa sijui wachezaji hawa wamekuwa na ukubwa gani...zenedine alipewa timu akiwa kocha mdogo asiye na jina na akakutana na wachezaji wakubwa sana class A, lakini wote wanamheshimu na kumsikiliza....kama CR7 alikubali kuwa rotated ije iwe kichuya? viongozi achezi waache ushamba
 
Huyo Kichuya anashangaza sana, inamaana anataka acheze yeye peke yake sikuzote.
Sub ni jambo la kawaida kwa kila mchezaji.
Lakini ameonesha hamu ya kucheza mpira kwenye timu yake.
Hata kama anahamu mwisho wa siku kocha ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
 
Hata kama anahamu mwisho wa siku kocha ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
msuva alizoea kucheza no 7 yanga na timu ya taifa, lakini kaenda moroco kocha kaona anafaa na anaweza kucheza no 10, sasahivi anachezeshwa no 10 na anafunga.........sasa huyu kichuya yeye anadonto za kwenda kucheza wapi? ambapo kocha akiamua atakuogpa kukubadilishia majukumu uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…