Simba SC watuma malalamiko wakilalamikia kubadilishwa kwa waamuzi mechi kati yao na TP Mazembe

simba tujipange msimu ujao soccer la Africa ndivo lilivo Hii michuano n kutumia nafas Nyumban michezo Huwa inachezwa nje na ndan ya uwanja
 
simba tujipange msimu ujao soccer la Africa ndivo lilivo Hii michuano n kutumia nafas Nyumban michezo Huwa inachezwa nje na ndan ya uwanja
Berkane kamfunga Gor Mahia 2 ugenini,Esperance kamfunga Cs Constantine ktk kiwanja chake bao 3 dhidi ya 2 za wenyeji,kuwapo kwa asilimia nyingi hakumaanishi asilimia ndogo haina nafasi kabisa.Never say Die

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wote uliowataja s Kama mazembe emb chukua record ya mazembe n mzoefu wa Haya mashindano toka zaman
 
Berkane kamfunga Gor Mahia 2 ugenini,Esperance kamfunga Cs Constantine ktk kiwanja chake bao 3 dhidi ya 2 za wenyeji,kuwapo kwa asilimia nyingi hakumaanishi asilimia ndogo haina nafasi kabisa.Never say Die

Sent using Jamii Forums mobile app

simba unamuweka level moja na esperence bingwa mtetezi.. alietwaa champions league mara 5..

msimu huu esperence toka hatua ya makundi anashinda away... pia anabebwa sana na mareferee kama simba juzi mlivyohonga usd 30,000 mkabebwa.. yeye mpira anaujua na anabebwa.. sio kama nyinyi hambebeki
 
umesahau hadi azam mechi yako hakuingia vyumbani hahhaahahah mzee wa rungu spray
Hakuingia lakini c alikojolewa nae???rungu spray ni nzuri mkuu...hata lipuli walimnyunyuzia mtu iringa kule majuzi tu hapa wakamkojolea kimoja dadekii
 
Je hata akija corina tuna nafasi ya kushinda?
 
mwende na rungu spray lubumbashi mkutane na vumbi la kongo 8 zinawasubiri
Hayo hayawahusu yanga...yanga yanayowahusu ni ya hapahapa ligi ku tunawanyunyuzia spray alafu tunawala tigo hahaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…