Simba SC watuma malalamiko wakilalamikia kubadilishwa kwa waamuzi mechi kati yao na TP Mazembe

Simba SC watuma malalamiko wakilalamikia kubadilishwa kwa waamuzi mechi kati yao na TP Mazembe

simba unamuweka level moja na esperence bingwa mtetezi.. alietwaa champions league mara 5..

msimu huu esperence toka hatua ya makundi anashinda away... pia anabebwa sana na mareferee kama simba juzi mlivyohonga usd 30,000 mkabebwa.. yeye mpira anaujua na anabebwa.. sio kama nyinyi hambebeki
Mkuu,hukwenda uwanjani ile mechi,
Ni wapi Simba alihonga?

watu wenye macho,yao walikuwa wanashuhuduia,jinsi Hali ilivyokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wote uliowataja s Kama mazembe emb chukua record ya mazembe n mzoefu wa Haya mashindano toka zaman

Nimesema kuwapo kwa asilimia nyingi hakumaanishi asilimia ndogo haina nafasi kabisa!!Unashindwaje kuelewa kitu rahisi kama hiko?Anyway,mwaka Jana Mazembe katolewa ktk mwelekeo huu huu na timu toka Angola
 
Nimesema kuwapo kwa asilimia nyingi hakumaanishi asilimia ndogo haina nafasi kabisa!!Unashindwaje kuelewa kitu rahisi kama hiko?Anyway,mwaka Jana Mazembe katolewa ktk mwelekeo huu huu na timu toka Angola
Pole Sana nimegundua kuwa wew unaamin ktk bahat uhakika WA sis kusonga mbele ilitakiwa mazembe afe Apa dar es salaam we endelea na bahat Nasibu zako
 
Soka la bongo hapo ndipo mnaponichoshaga!
Sijawahi kusikia popote club inalialia kuhofia waamuzi. Nendeni mkapige soka. Mpate matokeo, tuwasifu mkizingua tuwalaumu. Mpira unachezwa hadharani. Tutaona!

Kila la kheri Simba sc! To dare is to do
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt change in referees ahead of match against Mazembe in this Saturday in DRC" kauli ya Simba kupitia ukurasa wao wa Twitter.

Kabla ya Kauli hiyo Mbunge Zitto Kabwe aliandika pia Twitter akiwashauri Simba kufuatilia jambi hilo alilohisi lina harufu ya hujuma

"Waamuzi wa Mechi ya Simba na TP Mazembe wamebadilishwa. Wameondolewa waamuzi kutoka Ethiopia na Kenya na kuwekwa waamuzi kutoka Zambia. Nataraji Viongozi wa Simba wanafuatilia hili maana inaweza kuwa ni hujuma haswa Kwa kuwa Makamu wa Rais CAF anatoka Lubumbashi"~Ziitto KabweView attachment 1065805View attachment 1065806

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom