Simba SC watuma malalamiko wakilalamikia kubadilishwa kwa waamuzi mechi kati yao na TP Mazembe

Jumamosi sijui mtakojozwa ngapi? Mmeshaanza kugwaya! Hakuna namna 'send off' tayari mjiandae kuolewa tu kule Lubumbashi......

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayawahusu..sisi tufunge or tufungwe nyi hamfaidiki kitu..yanayowahusu nyinyi ni kukutana na sisi...tukawakojolea kimoja cha makalioni..yaani sahivi hakuna tena marinda tulishatatua ndo mana wakina lipuli wakapita tu kiulaini..hahaaaaah
 
Kama ni Marinda we we ndiyo kabisa lipo binge LA Tundu: anza na Mbao fc,
kakubikiri, haya, Mashujaa fc kakolezea Tundu, ndiyo maana Kina VITA fc na Aly Hal ly ilikuwa rahisi sana kuingiza Mitwango mitano kila mmoja, akamalizia Soura Miwili ya nguvu. Nadhani utashika adabu mwaka huu, maana mingine Minane inakusubiri Lubumbashi, hadi msimu huu unamalizika utakuwa na Tundu linaloweza pitisha pipe la inch 6"
hatari sana.
Hayawahusu..sisi tufunge or tufungwe nyi hamfaidiki kitu..yanayowahusu nyinyi ni kukutana na sisi...tukawakojolea kimoja cha makalioni..yaani sahivi hakuna tena marinda tulishatatua ndo mana wakina lipuli wakapita tu kiulaini..hahaaaaah
 
Hahaaah tulia mkuu dawa ikuingie vizuri...maswala ya kina vita,alhaly js saoura wewe hayakuhusu..usiongee mambo ya hatua ya michuano ambayo tangu uzaliwe hujawai iona timu yako ya ombaomba fc inacheza...tunachozungumzia hapa ni kuhusu kukutana sisi na nyie..tuliwakojolea kimoja cha mkwezi cha makalioni hahaaaaah
 
Daw Dawa imekuingia Barabara, kwani Mbao na Mashujaa walioanza kutoboa Tundu lako kabla ya kupanunulia na hao kina VITa na wenzake ni za wapi au zinashiriki mashindano tapi, Tulia kikuingie vizuri mkuu wacha kupanic. Narudia hadi msimu unamalizika, Tundu lako kina uwezo wa kuingiza pipe LA 8"
 
Watu wanakataa mahakimu na majaji seuse refa.??.na hao CAF kwanini hawakutoa sababu za kubadilisha muamuzi na kwanini wambadllishe baada ya kuona soka safi la simba??CAF waache kuja na timu zao simba ni timu kubwa Kwa sasa duniani!!
 
..hahaaah kimoja cha mkwezi...cha makalioni
 
Imebainika Tp mazembw wana hako kamchezo maana hata ktk mechi waliocheza na chura churan pale lugumbashi mwaamuzi alibadilishwa kuelekea mchezoni LKN pia yule refa walio mtoa wa Ethiopia ana rekodi ya kukataa kupokea hongo. Ss hapo CAF isije ikawa kama CAF ile ya leprofessori
 
Wamepata pakutokea maana Congo wanajua hawachomoki
 

Kuna sehemu nimesema Simba na Esperance wako level moja???Kichuya akifunga goli kama alilowahi kufunga Messi tusiseme kama kafunga goli kama Messi kwa vile hawapo level moja??

Hayo maneno mengine ya vijiwe vya kahawa sihitaji kuyazungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…