Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Mkuu,hukwenda uwanjani ile mechi,simba unamuweka level moja na esperence bingwa mtetezi.. alietwaa champions league mara 5..
msimu huu esperence toka hatua ya makundi anashinda away... pia anabebwa sana na mareferee kama simba juzi mlivyohonga usd 30,000 mkabebwa.. yeye mpira anaujua na anabebwa.. sio kama nyinyi hambebeki
hao wote uliowataja s Kama mazembe emb chukua record ya mazembe n mzoefu wa Haya mashindano toka zaman
Pole Sana nimegundua kuwa wew unaamin ktk bahat uhakika WA sis kusonga mbele ilitakiwa mazembe afe Apa dar es salaam we endelea na bahat Nasibu zakoNimesema kuwapo kwa asilimia nyingi hakumaanishi asilimia ndogo haina nafasi kabisa!!Unashindwaje kuelewa kitu rahisi kama hiko?Anyway,mwaka Jana Mazembe katolewa ktk mwelekeo huu huu na timu toka Angola
Lazima tuwe wakwel simba amepoteza nafas ya uhakika Nyumban kilichobak n kusubiria hiyo bahat Nasibu nyie endeleen na Manara wenu na Uswahil wa kariakooSimba ilimtoa Zamalek wakati huo rekodi yake nyumbani ilikua zaidi ya Mazembe Jumamosi ndio utamjua Mnyama
Sent using Jamii Forums mobile app
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt change in referees ahead of match against Mazembe in this Saturday in DRC" kauli ya Simba kupitia ukurasa wao wa Twitter.
Kabla ya Kauli hiyo Mbunge Zitto Kabwe aliandika pia Twitter akiwashauri Simba kufuatilia jambi hilo alilohisi lina harufu ya hujuma
"Waamuzi wa Mechi ya Simba na TP Mazembe wamebadilishwa. Wameondolewa waamuzi kutoka Ethiopia na Kenya na kuwekwa waamuzi kutoka Zambia. Nataraji Viongozi wa Simba wanafuatilia hili maana inaweza kuwa ni hujuma haswa Kwa kuwa Makamu wa Rais CAF anatoka Lubumbashi"~Ziitto KabweView attachment 1065805View attachment 1065806
Sent using Jamii Forums mobile app