Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Umeandika uj.Sio kila kitu utakikuta official page ya Ya Team
Misharavya wachezaji ushawahi ikuta official page ya Team hata pale Madrid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika uj.Sio kila kitu utakikuta official page ya Ya Team
Misharavya wachezaji ushawahi ikuta official page ya Team hata pale Madrid?
Nipo jukwaani mbona? 😆 😆 😆 😆Nimekumiss wewe dada.
Tulia shirikisha ubongo..unaongelea mishahara inafanana na termination? Wkt anakuja tuliona kwny official page ya club kama taarifa kwa umma kuwa ni kocha mpya wa Simba na kuondoka vivyo hivyo tunataka kuona kama ambavyo tumeona tayari...Sio kila kitu utakikuta official page ya Ya Team
Misharavya wachezaji ushawahi ikuta official page ya Team hata pale Madrid?
Sawa kabisa, mzima lakini..?Nipo jukwaani mbona? 😆 😆 😆 😆
Kwahiyo Kocha Mkuu akiuguliwa na Mkewe ndiyo analazimka kuondoka na Wasaidizi wake Wawili ili waende nae kumsaidia Kumtibia huyo Mkewe Mgonjwa? Nachukia sana Watu Wapumbavu na Waongo. Koaha Benchika mmeshindwana nae baada ya Kumtukuna Kiongozi Mmoja mkubwa tu Kikaoni kuwa kamletea Wachezaji wabovu hivyo hataki Kuharibu CV yake kaomba Kuondoka.Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma:
- Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
- Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
----
Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya Simba baada yakufikia makubaliano ya pande zote mbili.
Kwa sasa Juma Mgunda atakuwa Kocha mkuu wa muda kwa Simba na msaidizi wake ni Seleman Matola, Michael Igendia atakuwa kocha wa viungo.
View attachment 2976046
Naunga mkono hojaKwahiyo Kocha Mkuu akiuguliwa na Mkewe ndiyo analazimka kuondoka na Wasaidizi wake Wawili ili waende nae kumsaidia Kumtibia huyo Mkewe Mgonjwa? Nachukia sana Watu Wapumbavu na Waongo. Koaha Benchika mmeshindwana nae baada ya Kumtukuna Kiongozi Mmoja mkubwa tu Kikaoni kuwa kamletea Wachezaji wabovu hivyo hataki Kuharibu CV yake kaomba Kuondoka.
Hakika Jombaa. Binafsi nilihisi makubaliano ya Benchika na Simba yalikuwa nusu fainali klabu bingwa, haingii akilini umlipe kocha mkuu na wasaidizi wake zaidi ya $40,000 kwa mwezi kucheza NBC premier league ambayo hata Juma Mgunda anaweza kufanya kwa ufasaha pamoja na wasaidizi wake chini ya $10,000 kwa mwezi.Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mienendo ya Simba ungejua baada tu ya kutolewa na Al Ahly kuwa Simba ilikuwa inaenda kuvunja mkataba na Benchikha. Nafikiri hili niliwahi kucomment sehemu. Kwa mitazamo ya viongozi, wasingeendelea kumlipa kocha milioni 80 akacheze na Kagera Sugar. Ni mfumo uliopo ndani ya klabu ambapo wanapotaka kuachana na Kocha, wako radhi waipige timu shoti katika mechi muhimu ili kuharakisha mchakato.
Utaona Simba itaendelea na hao kina Mgunda hadi msimu ujao utakapokuwa umeanza, hatua za kimataifa mpaka ivuke hatua ya makundi au ifike robo fainali ndiyo utasikia analetwa tena kocha mwingine mkubwa. Save hii comment.
Viongozi wasipokuwa wakweli bado hawajatibu tatizo!yaani ugonjwa wa mke usababishe kocha avuje mkataba na wasaidizi wake?Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma:
- Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
- Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
----
Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya Simba baada yakufikia makubaliano ya pande zote mbili.
Kwa sasa Juma Mgunda atakuwa Kocha mkuu wa muda kwa Simba na msaidizi wake ni Seleman Matola, Michael Igendia atakuwa kocha wa viungo.
View attachment 2976046
Weka limit ya hisia, hasira za kiwango cha kufikiria kuua usiruhusu, si salama kwa afya ya akili. Unaitwa mchezo wa mpira wa miguu na wewe ni shabiki.Jana nilimcheki try again na mangungu yanavyokenua kubeba muungano nikakasirika mpaka nikawaza ndio maana kuna watu huua bila kukusudia!simba haijawahi kuwa na viongozi wapuuzi na mbumbumbu kwa hawa wawili!
Simba sc msipo aknowledge tatizo maali lilipo na kulifanyia kazi , hata kocha atoke mbinguni kwa kikosi hiko ataondoka tu.
Mme rudi kule kule alipotoka yanga, kuendeshwa kiswahili
Tatizo Mo yupo tayari kurisk pesa yake? Miezi 10 ya kukaa na Ben gharama ni almost B, bado anahitaji wachezaji watakaohitaji mishahara mikubwa, kurudisha hizo fedha na faida ni kupitia AFL na Champion league, asipovuka ni hasara, Mo na wenzie wanaona bora ukiokota okota wachezaji wa kulipwa M5, 10 na mmoja au wawili wa bei juu wa M20,25 na kocha asiye na gharama sana halafu ukafika robo fainali Champion league na AFL ukavuka hata hatua ya pili kuliko kurisk.Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mienendo ya Simba ungejua baada tu ya kutolewa na Al Ahly kuwa Simba ilikuwa inaenda kuvunja mkataba na Benchikha. Nafikiri hili niliwahi kucomment sehemu. Kwa mitazamo ya viongozi, wasingeendelea kumlipa kocha milioni 80 akacheze na Kagera Sugar. Ni mfumo uliopo ndani ya klabu ambapo wanapotaka kuachana na Kocha, wako radhi waipige timu shoti katika mechi muhimu ili kuharakisha mchakato.
Utaona Simba itaendelea na hao kina Mgunda hadi msimu ujao utakapokuwa umeanza, hatua za kimataifa mpaka ivuke hatua ya makundi au ifike robo fainali ndiyo utasikia analetwa tena kocha mwingine mkubwa. Save hii comment.
Yeah hizo zili leak na lazima zitakua na ukweli ndani yake😁😁Kwa hiyo walio ripoti kuwa Mzize analipwa 6k hawakukurupuka mweh 😂😂
Huwa sielewi watu wanavyosema Mo ndiyo sijui analipa mishahara huku hamna taarifa rasmi ya klabu imewahi kusema hivyo. Ukiangalia bajeti ya timu mfano ya mwaka jana imejumuisha mishahara kwa maana hiyo inatoka kwenye vyanzo rasmi vya klabu na si hisani za pembeni za watu binafsi. Katika mkutano ule sikusikia wakisema kuna gharama za nyongeza zilizolipwa na Mo nje ya bajeti.Tatizo Mo yupo tayari kurisk pesa yake? Miezi 10 ya kukaa na Ben gharama ni almost B, bado anahitaji wachezaji watakaohitaji mishahara mikubwa, kurudisha hizo fedha na faida ni kupitia AFL na Champion league, asipovuka ni hasara, Mo na wenzie wanaona bora ukiokota okota wachezaji wa kulipwa M5, 10 na mmoja au wawili wa bei juu wa M20,25 na kocha asiye na gharama sana halafu ukafika robo fainali Champion league na AFL ukavuka hata hatua ya pili kuliko kurisk.
Mkuu, mkataba pesa anazotakiwa kutoa Mo ni za shughuli gani? Kwanini anahitajika?Huwa sielewi watu wanavyosema Mo ndiyo sijui analipa mishahara huku hamna taarifa rasmi ya klabu imewahi kusema hivyo. Ukiangalia bajeti ya timu mfano ya mwaka jana imejumuisha mishahara kwa maana hiyo inatoka kwenye vyanzo rasmi vya klabu na si hisani za pembeni za watu binafsi. Katika mkutano ule sikusikia wakisema kuna gharama za nyongeza zilizolipwa na Mo nje ya bajeti.
Kabla klabu haijamuajiri mtu yoyote, iwe mfanyakazi wa kawaida, kocha au mchezaji kwanza inajiridhisha itaweza kumudu kumhudumia na kumlipa kwa kipindi chote cha mkataba. Kutumia makocha wa milioni 20 halafu ukiwa unakaribia malengo unawatoa unaleta kocha wa milioni 80 halafu unampa miezi 2 afikie lengo ni kukosa maarifa ya kiuongozi, kimpira na kuishi kimaskini.
Kama gharama ya kocha unayemtaka ni Bilion 1 kwa mwaka, itafute hiyo hela, weka kwenye bajeti mpe miaka 3 na mahitaji yake yote mengine ili afikie hayo malengo. Bilioni 3 kwa miaka 3 ni pesa kiduchu sana kama lengo la kuchukua Ubingwa wa CAF linafikiwa.
Pesa ya Mo haina tofauti na vyanzo vingine vyote vya mapato vya Klabu. Kama kuna pesa ambazo Mo anatakiwa kutoa kila mwaka hazijaspecify kazi ya hizo pesa zake moja kwa moja. Bajeti ndiyo inaamua pesa iliyokusanywa itatumikaje. Ni sawa na kuuliza pesa wanazotoa M-Bet au Sandaland ni za shughuli gani au kusema pesa ya Sandaland inalipa mshahara wa Babacar Sarr.Mkuu, mkataba pesa anazotakiwa kutoa Mo ni za shughuli gani? Kwanini anahitajika?
Bado ujanijibu swali mkuu. Kwanini Mo au hata akija mwingine anahitajika sana pale Simba iwapo pesa yake ni vyanzo vingine vya mapato na Simba ina vyanzo vikuu ambavyo vinaweza kuendesha timu?Pesa ya Mo haina tofauti na vyanzo vingine vyote vya mapato vya Klabu. Kama kuna pesa ambazo Mo anatakiwa kutoa kila mwaka hazijaspecify kazi ya hizo pesa zake moja kwa moja. Bajeti ndiyo inaamua pesa iliyokusanywa itatumikaje. Ni sawa na kuuliza pesa wanazotoa M-Bet au Sandaland ni za shughuli gani au kusema pesa ya Sandaland inalipa mshahara wa Babacar Sarr.
Sijaelewa msingi wa swali lako. Pesa anayotoa mwekezaji kwa mujibu wa mikataba yake na klabu ni sehemu ya hivyo vyanzo vikuu lakini hauwezi kusema hiyo pesa anayotoa imefanya kitu fulani specific kwa sababu inaingia katika mfuko wa klabu na huko ndiyo inaenda kupelekwa katika matumizi mbalimbali.Bado ujanijibu swali mkuu. Kwanini Mo au hata akija mwingine anahitajika sana pale Simba iwapo pesa yake ni vyanzo vingine vya mapato na Simba ina vyanzo vikuu ambavyo vinaweza kuendesha timu?
Twende taratibu boss. Tumekubaliana pesa ya mwekezaji ni sehemu ya vyanzo vikuu vya mapato.Sijaelewa msingi wa swali lako. Pesa anayotoa mwekezaji kwa mujibu wa mikataba yake na klabu ni sehemu ya hivyo vyanzo vikuu.