Alikuwa mtu na nusu ....Viongozi wa Simba hawajielewi.Huyu wa viungo daaah
Wa viungo alikuja muda mrefu wakati wa makipa naye alikuja kivyakevyakeKocha mkuu huwa anakuja na timu yake, mara nyingi huja na mtaalamu wa viungo, kocha wa makipa, mtaalamu wa saikolojia n.k
Hivyo kocha mkuu akiachia ngazi ni wazi hata jopo lake litaondoka tu...
Kama ni mechi ya mwisho kuwepo ni dhidi ya Dodoma jiji maanake kwa sheria za ndani (TFF) ndio waliona hawana sifaNimemsikia Ibrahim masud maestro akidai "huyo kocha wa viungo na magolikipa pia walikosa vigezo (sifa/ elimu) na mechi yao ya mwisho kuruhusiwa kuwepo kwenye benchi ni ile ya Dodoma jiji" .
Usinge sema Bakhressa Hana Kadi au sio mwanachama wa Simba!!..Usinge sema Mo hajaweka 20B kwasababu vyombo vya serikali vyote vinaonyesha ndio Mwekezaji wa Simba!!..Na ungejua sheria zetu za ligi kuu hata za Baraza la Michezo!!.. Lakini wewe unajua kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]" You can't know everything though you know something about everything"
Kocha wa viungo Ana leseni ya juu inayotambulika na uefa pia Ana PhD ya maswala ya lishe na viungo.Kama ni mechi ya mwisho kuwepo ni dhidi ya Dodoma jiji maanake kwa sheria za ndani (TFF) ndio waliona hawana sifa
Labda akafundishe Yanga Queens, Nabi Cv yake ni kubwa kuliko huyo Da Rosa.Yanga wamchangamkie kocha huyo
Ukimfukuza kocha wewe inabidi ulipie mkataba wote, ndio maana mnafanya makubaliano anaandika barua ya kuacha kazi na mnamlipa mlichokubaliana, hiyo ndio system ya wahindi hadi kwenye viwanda vyao.Nimeona niweke sawa hili, Makocha watatu wa Simba waliandika barua ya kuacha kazi tokea jana, baada ya kutoridhishwa na kauli za viongozi wa juu ( Mo na Magori) za watu kuhujumu timu wakati kwenye football, kufungwa, kufunga na ku draw ni normal.
Baada ya kikao cha kujadili zile barua za resignation, bodi ya Simba sport club iliridhia kujiuzuru kwao.
Kwahiyo naweka sawa kuwa, Gomez na wenzake hawajafukuzwa, bali waliomba kuacha kazi.View attachment 1987328
Hakuna chombo chochote cha Serikali kiliwahi kusema Mo kaweka bil 20 Simba, labda Serikali ya huko uliko. Kilichokuwepo ni tume ya ushindani kupitia utaratibu wa uwekezaji wa club ya Simba ili kujiridhisha kuwa taratibu za ushindani zimefuatwa ili baada ya hapo mchakato uendelee.Usinge sema Bakhressa Hana Kadi au sio mwanachama wa Simba!!..Usinge sema Mo hajaweka 20B kwasababu vyombo vya serikali vyote vinaonyesha ndio Mwekezaji wa Simba!!..Na ungejua sheria zetu za ligi kuu hata za Baraza la Michezo!!.. Lakini wewe unajua kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda Brella,Tff,bodi ya ligi, Baraza la Michezo alafu uwe Una sikiliza au kuangalia habari!!..You know everything [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hakuna chombo chochote cha Serikali kiliwahi kusema Mo kaweka bil 20 Simba, labda Serikali ya huko uliko. Kilichokuwepo ni tume ya ushindani kupitia utaratibu wa uwekezaji wa club ya Simba ili kujiridhisha kuwa taratibu za ushindani zimefuatwa ili baada ya hapo mchakato uendelee.
Hakuna haja ya kurevisit mwakani, hilo liko wazi hata mbaki na hao makocha,Tajiri mshamba
Kufanya kazi na muhindi ni ngumu sana
Haya sasa the curve starts to bend down
Simba kwisha habari yao hapo mtarecover misimu 3 ijayo.
Yanga lazima achukue ubingwa huu msimu trust me
Revisit this comment mwakani
Mkuu hadi sasa hujui figisu za kibongo?? Hiyo barua naamini ingeonyeshwa kabisa ila katika kuficha mapungufu yao wameamua kusema kaandika kuondoka. Kauli ya Mudi ilitosha kuanzia timu ilipotolewa Klabu bingwqNimeona niweke sawa hili, Makocha watatu wa Simba waliandika barua ya kuacha kazi tokea jana, baada ya kutoridhishwa na kauli za viongozi wa juu ( Mo na Magori) za watu kuhujumu timu wakati kwenye football, kufungwa, kufunga na ku draw ni normal.
Baada ya kikao cha kujadili zile barua za resignation, bodi ya Simba sport club iliridhia kujiuzuru kwao.
Kwahiyo naweka sawa kuwa, Gomez na wenzake hawajafukuzwa, bali waliomba kuacha kazi.View attachment 1987328
Bakhressa ni mwanachama wa maisha wa Simba.Usinge sema Bakhressa Hana Kadi au sio mwanachama wa Simba!!..Usinge sema Mo hajaweka 20B kwasababu vyombo vya serikali vyote vinaonyesha ndio Mwekezaji wa Simba!!..Na ungejua sheria zetu za ligi kuu hata za Baraza la Michezo!!.. Lakini wewe unajua kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kuna mtu humu anajua kila kitu lakini hajui kwamba Bakhressa ni Mwanachama na Shabiki kindakindaki wa SimbaBakhressa ni mwanachama wa maisha wa Simba.