Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Pamoja na kuzeeka kuna wachezaji pale wameshajihakikishia namba ,wanajiona mafaza ,ningekuwa kocha ningeandaa kikosi na wachezaji wapya na wale ambao hawapati namba halafu hao mafaza wanatokea sub hadi akili iwakae
 
Asante kuna mtu humu anajua kila kitu lakini hajui kwamba Bakhressa ni Mwanachama na Shabiki kindakindaki wa Simba
Ukisema mwanachama tu bado haitoshi, bali yeye Bakhresa ana hadhi ya kutofutwa uanachama wake maisha yake yote.

Baada ya kuona wapuuzi wengi Simba ndio sababu akaamuwa kuanzisha timu yake ya Azzam.
 
Mtagongwa tu
 
Ukisema mwanachama tu bado haitoshi, bali yeye Bakhresa ana hadhi ya kutofutwa uanachama wake maisha yake yote.

Baada ya kuona wapuuzi wengi Simba ndio sababu akaamuwa kuanzisha timu yake ya Azzam.
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
We nae tulia uyo bakhressa kawekeza kwenye club ya Azam iyo azam Ina maajabu gani ? Angewekeza simba si ndio angeifanya kibogoyo
 
Biashara za wahindi ni uchizi uliokithiri, Kanjibai kauza bunduki kanunua rungu afu anataka matokeo yale yale. Kama kuna watu walipaswa kuanza kuwajibika hapo Simba, alipaswa anze Mwamedi, na kademu kake kafuate.
Tulia kidogo alafu urudie kusoma pumba zako!
 
Huyu bibie CEO mbona yuko nyuma ya pazia tu. Hana contribution yake kwenye muundo wa timu ilivyo kwa sasa...
Nina mashaka na mambo yanayokwenda mbeleni...
Tukamsikiliza Manara at late hours..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…