Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
So far wamepiga hatua sana, na hii pongezi inaenda moja kwa moja kwa uongozi mpya chini ya Engineer HersiYANGA anao uhakika wa angalau alama moja, hawezi kutokea wa mwisho kwenye kundi lake.
Mechi ya BAMAKO vs MAZEMBE itazuia kupitwa na timu zote mbili.
Pointi moja ni alama kubwa sana wala sio ya kui underrate