So far wamepiga hatua sana, na hii pongezi inaenda moja kwa moja kwa uongozi mpya chini ya Engineer HersiYANGA anao uhakika wa angalau alama moja, hawezi kutokea wa mwisho kwenye kundi lake.
Mechi ya BAMAKO vs MAZEMBE itazuia kupitwa na timu zote mbili.
Kubeza points za CAF kwa hoja ya kombe, hizo ni kauli za aliyeshindwa.Mbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
CAF kama TFF tu nao wanaipendelea tu SimbaCAF hawataki kabisa kuiachia Simba SC kuitaja yaani, mara nafasi ya 10 kwa ubora, mara wachezaji watu wanaunda kikosi cha wiki, hatujakaa vizuri mara Chama mchezaji bora wa wiki wa CAF.
Sasa hapo mpuuzi ni nani? Anayefurahia na kufarijika na kuingiza timu nne au anayedharau na kubeza Simba kuingiza timu nne?Mbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
Huko wenye akili ni JK na Baba Takadini waliobakia matutusa tupuUnashida mkuu? Mwenye uzi amesema Tanzania wewe unasema Yanga kwani Yanga ni Taifa mkuu,
Unafahamu ni kwa nini alinitaja? Mimi nimeeleza kwa mtazamo wa timu yangu. Na siyo Tanzania.Unashida mkuu? Mwenye uzi amesema Tanzania wewe unasema Yanga kwani Yanga ni Taifa mkuu,
Waache waendelee kujipa faraja sisi tuna tafta makombe wao wana tafta sifaYanga anashiriki Klabu Bingwa kupitia nafasi yake halali baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu, au Kombe la ASFC!
Hayo masuala kuingiza timu 4, yanazisaidia timu za Azam, Geita Gold, Namungo, Singida Big Stars, nk. Kwa upande wa Yanga, hayana mashiko.
Sikiliza wewe mbumbumbu thamani ya timu ni trophies hizo ngonjera unaongea ziliwachosha Arsenal eti timu inapata faida wakati mashabiki wanataka makombeKubeza points za CAF kwa hoja ya kombe, hizo ni kauli za aliyeshindwa.
Afu sio kila time kombe linakuwa lina thamani
Kombe la ligi kuu ni 500M na hii imeongezeka juzi tu, way back ilikuwa 100M wakati hatua ya makundi aliyopo Simba saizi anavita jax ya 1.2B
Sasa hapo uliambiwa uchague kuwa bingwa wa kombe la NBC na kuwa kwenye group stage unafikiri utachagua kombe?
Sawa.Unafahamu ni kwa nini alinitaja? Mimi nimeeleza kwa mtazamo wa timu yangu. Na siyo Tanzania.
Yanga ana trophies gani ambazo simba hana?Sikiliza wewe mbumbumbu thamani ya timu ni trophies hizo ngonjera unaongea ziliwachosha Arsenal eti timu inapata faida wakati mashabiki wanataka makombe
Trophies za 500M na 1.2B ya makundi ipi ni biggest achievement?Sikiliza wewe mbumbumbu thamani ya timu ni trophies hizo ngonjera unaongea ziliwachosha Arsenal eti timu inapata faida wakati mashabiki wanataka makombe
29 primer leagueYanga ana trophies gani ambazo simba hana?
Ni kwamba huna akili au una igiza?Trophies za 500M na 1.2B ya makundi ipi ni biggest achievement?
Vijana wa tajiri mtata Salaah [emoji3]
Kama hujui Yanga ni Taifa basi Aden Rage yuko sahihi kabisa.Unashida mkuu? Mwenye uzi amesema Tanzania wewe unasema Yanga kwani Yanga ni Taifa mkuu,
Pitia kwanza vizuri uone kajibu katika comment ipi. Wewe ndio umekurupukaUnashida mkuu? Mwenye uzi amesema Tanzania wewe unasema Yanga kwani Yanga ni Taifa mkuu,
NO mara waaaaa lazima itajweCAF hawataki kabisa kuiachia Simba SC kuitaja yaani, mara nafasi ya 10 kwa ubora, mara wachezaji watatu wanaunda kikosi cha wiki, hatujakaa vizuri mara Chama mchezaji bora wa wiki wa CAF.
Nafikiri Mkuu una kitanda chako Mirembe ila sijui kwanini hawajaja kukubeba! Hivi We jamaa una shida gani?Yanga ana trophies gani ambazo simba hana?
Hujajibu swali nanukuu "kubwa jinga miaka yote hiyo kina point 1tu" hii ndiyo hoja ya msingiYanga anashiriki Klabu Bingwa kupitia nafasi yake halali baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu, au Kombe la ASFC!
Hayo masuala kuingiza timu 4, yanazisaidia timu za Azam, Geita Gold, Namungo, Singida Big Stars, nk. Kwa upande wa Yanga, hayana mashiko.