Simba Sc yafunika vigogo wenzie ugenini

Simba Sc yafunika vigogo wenzie ugenini

Ndiyo nini hiki umeandika, sijawahi ona mshabiki wa hii timu mwenye akili timam
Ni kweli hata Msukule wenu alishasema hakuna utopolo mwenye akili timamu

Kocha yule akawaita mashabiki wa yanga manyani.

Hitimisho: Yanga ni manyani na hakuna manyani wenye akili timamu.

Mkuu umeona mbali sana.
 
Muwe mnaendelea hivyo hivyo kuleta takwimu na habari za upekee za usimba msiishie njiani kama msimu uliopita.

Mlijisifia kikosi bora cha wiki, mlijisifiia goli bora la wiki, mlijisifia timu bora inayoongoza kwa matokeo ya ujumla.

Mlijisifia timu bora , Lakini mlipofungwa na kaizer chiefs ndio ikawa mwisho wa kujisifia. Na zile rank mlizokuwa mnatoa ikaishia hapo.

Ndio kawaida mashabiki wa timu za maandagraundi kujisifia lakini mashabiki wa timu zinazofikiria makombe hawana huu utoto.
Nyie si mlicheza nusu fainali msimu uliopita sisi Simba tukaishia robo fainali.

Mwaka huu simba ameishia raundi ya kwanza wakat nyie mnajiandaa kuingia group stage.

Nb: Yanga mna VINASABA vya UNYANI fulani hivi.
 
Naona kwenye chart hapo kuna nchi zina timu mbilimbili why Tanzania ipo timu moja tu Simba pekee?
 
Muwe mnaendelea hivyo hivyo kuleta takwimu na habari za upekee za usimba msiishie njiani kama msimu uliopita.

Mlijisifia kikosi bora cha wiki, mlijisifiia goli bora la wiki, mlijisifia timu bora inayoongoza kwa matokeo ya ujumla.

Mlijisifia timu bora , Lakini mlipofungwa na kaizer chiefs ndio ikawa mwisho wa kujisifia. Na zile rank mlizokuwa mnatoa ikaishia hapo.

Ndio kawaida mashabiki wa timu za maandagraundi kujisifia lakini mashabiki wa timu zinazofikiria makombe hawana huu utoto.
Timu za makombe ni yanga au?
Huu mwaka wa nne mnalamba mchanga.
 
Al ahly na wydad Casablanca wasiposhinda kwao ndo BYE BYE
 
Mhm!! bomba cjakuelewa kabisa hapa. kamba simba ni underground then yanga inafikiria makombe..kweliiii
Sijaitaja Yanga sehemu yoyote ila cha ajabu umeitaja Yanga. Inamaana Simba role model wake ni Yanga kwenye level ya kimataifa?
 
kwamba na Yanga nayo inafikiria kombe la CAF CL ? Au sijakupata bwana muzee!
Tatizo unafikiria kushindana na Yanga hivyo hata mtu asipoitaja Yanga kichwani unawaza Yanga tu. Msimu ulioisha mlipost sana sifa zisizo na mantiki lakini hauwezi kuona Hororya, Al Ahly, wydad, n.k wanapost ujinga kama huo bali focus yao ni makombe. Asa sifa za msimi uliopita ziliishia wapi bila kombe?
 
Kwani unakijua kiarabu na kifaransa, kama kiingereza tu kinakupa shida? Simba haishindai ny Yanga, maana yanga haigombanii kuingia kundi lolote huko Songea
 
Kwani unakijua kiarabu na kifaransa, kama kiingereza tu kinakupa shida? Simba haishindai ny Yanga, maana yanga haigombanii kuingia kundi lolote huko Songea
Umekurupuka pitia comment yangu ya awali halafu angalia ulicho reply halafu uone wapi tulipopishana. Maana inaonekana unatoa comment bila kuwa na kumbu kumbu
 
Back
Top Bottom