Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Nasema hivi tuliza wewe tuliza mambo ya Iringa wewe.Ndiyo nini hiki umeandika, sijawahi ona mshabiki wa hii timu mwenye akili timam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema hivi tuliza wewe tuliza mambo ya Iringa wewe.Ndiyo nini hiki umeandika, sijawahi ona mshabiki wa hii timu mwenye akili timam
Hivi hadi mvaa skafu nae hayumo kwenye hii top two.Msukule alisema Ukitoa Sunday (baba yake) na Kikwete waliopo Utopolo wote Hamnazo.
Wewe ndo Kiranja wao...!
Ni kweli hata Msukule wenu alishasema hakuna utopolo mwenye akili timamuNdiyo nini hiki umeandika, sijawahi ona mshabiki wa hii timu mwenye akili timam
Nyie si mlicheza nusu fainali msimu uliopita sisi Simba tukaishia robo fainali.Muwe mnaendelea hivyo hivyo kuleta takwimu na habari za upekee za usimba msiishie njiani kama msimu uliopita.
Mlijisifia kikosi bora cha wiki, mlijisifiia goli bora la wiki, mlijisifia timu bora inayoongoza kwa matokeo ya ujumla.
Mlijisifia timu bora , Lakini mlipofungwa na kaizer chiefs ndio ikawa mwisho wa kujisifia. Na zile rank mlizokuwa mnatoa ikaishia hapo.
Ndio kawaida mashabiki wa timu za maandagraundi kujisifia lakini mashabiki wa timu zinazofikiria makombe hawana huu utoto.
Timu za makombe ni yanga au?Muwe mnaendelea hivyo hivyo kuleta takwimu na habari za upekee za usimba msiishie njiani kama msimu uliopita.
Mlijisifia kikosi bora cha wiki, mlijisifiia goli bora la wiki, mlijisifia timu bora inayoongoza kwa matokeo ya ujumla.
Mlijisifia timu bora , Lakini mlipofungwa na kaizer chiefs ndio ikawa mwisho wa kujisifia. Na zile rank mlizokuwa mnatoa ikaishia hapo.
Ndio kawaida mashabiki wa timu za maandagraundi kujisifia lakini mashabiki wa timu zinazofikiria makombe hawana huu utoto.
Naombea watolewe na sisi tupate kamseleleko kuingia robo na nusuAl ahly na wydad Casablanca wasiposhinda kwao ndo BYE BYE
Sijaitaja Yanga sehemu yoyote ila cha ajabu umeitaja Yanga. Inamaana Simba role model wake ni Yanga kwenye level ya kimataifa?Mhm!! bomba cjakuelewa kabisa hapa. kamba simba ni underground then yanga inafikiria makombe..kweliiii
Tatizo unafikiria kushindana na Yanga hivyo hata mtu asipoitaja Yanga kichwani unawaza Yanga tu. Msimu ulioisha mlipost sana sifa zisizo na mantiki lakini hauwezi kuona Hororya, Al Ahly, wydad, n.k wanapost ujinga kama huo bali focus yao ni makombe. Asa sifa za msimi uliopita ziliishia wapi bila kombe?kwamba na Yanga nayo inafikiria kombe la CAF CL ? Au sijakupata bwana muzee!
Kwani unakijua kiarabu na kifaransa, kama kiingereza tu kinakupa shida? Simba haishindai ny Yanga, maana yanga haigombanii kuingia kundi lolote huko SongeaTatizo unafikiria kushindana na Yanga hivyo hata mtu asipoitaja Yanga kichwani unawaza Yanga tu. Msimu ulioisha mlipost sana sifa zisizo na mantiki lakini hauwezi kuona Hororya, Al Ahly, wydad, n.k wanapost ujinga kama huo bali focus yao ni makombe. Asa sifa za msimi uliopita ziliishia wapi bila kombe?
Umekurupuka pitia comment yangu ya awali halafu angalia ulicho reply halafu uone wapi tulipopishana. Maana inaonekana unatoa comment bila kuwa na kumbu kumbuKwani unakijua kiarabu na kifaransa, kama kiingereza tu kinakupa shida? Simba haishindai ny Yanga, maana yanga haigombanii kuingia kundi lolote huko Songea
[emoji250]Na mwakaa huu ubingwa lazima uje msimbazi,maana al ahly hawatoboi kabisa wabovu sana.
[emoji14]Al ahly na wydad Casablanca wasiposhinda kwao ndo BYE BYE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787].na huo Mseleleko.Naombea watolewe na sisi tupate kamseleleko kuingia robo na nusu
[emoji14]
Labda robo fainali ya ndondo cupNaombea watolewe na sisi tupate kamseleleko kuingia robo na nusu
Haawa warabu wakiwa nyumban hawakubali kufungwa kirahisi na kizembeeAl aht au wydad Casablanca mmoja safari inamuhusu