Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Kadi ya Njano kwa Golikipa wa Ruvu Shootings bidii hussein kwa kuchelewesha mpira
 
Muzamiru anakosa goli la wazi kabisa. Hizi chance mbili simba watajutia baadae
 
Dk 43, nafasi nyingine kwa Simba, MZamiru anauwahi mpira ukizagaa anaachia shuti kali lakini unapita juuuu

KADI Dk 41, kipa Bidii Hussuein analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda

Dk 40, Simba wanapoteza nafasi nyingine ya wazi, Pastory anashindwa kulenga

KADI Dk 38, Jabir Aziz Stima analambwa kadi ya njano kwa kumrushia daruga Athanas
 
Abdi banda utafikiri kahaidiwa gari akimzuia Method Mwanjali. Anamkaba mpaka kero
 
Muda wowote mpira utakuwa Mapumziko. Hapa refa mpaka sasa kashamaiza hadi za nyongeza
 
Back
Top Bottom