Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
FVCK REFA ANAONYESHA DHAHIRI MUAMALA UMEHUSIKA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba haina forward kabisa viungo ndio wanaofungahahaha... asante mo ibrahimu.
Njoo uedit hapaAnapigwa simba Leo correct score simba 0 Jkt 1
Mikia wamekuwa vipofuFVCK REFA ANAONYESHA DHAHIRI MUAMALA UMEHUSIKA.
Mkuu ndugu yako Mwana Mtoka Pabaya.. anataka uendelee kutupa updates.Dakika za refa | Simba 1 - 0 Ruvu Shootings
Mo Ibrahim ( Simba)
********* END OF UPDATE**********
Kwani magoli ya viungo siyo magoli? Mikia bhanaSimba haina forward kabisa viungo ndio wanaofunga
Ila ndo inaongoza ligi.. Timu zenye forward wakali, zinasuasua.Simba haina forward kabisa viungo ndio wanaofunga
Rungu lililo ndani ya kaptula ya Mo?Masau Bwire kasema leo anakuja na rungu.Sasa kama anadhani simba ni nyau aje tu! Yaani simba mnyama umue na rungu? Leo ndiyo atajua maana ya NGUVU MOJA.
Unawezaje kutuita tunasuasua ilhali tunakupumulia kisogoni?Ila ndo inaongoza ligi.. Timu zenye forward wakali, zinasuasua.
NilikumissKosi La Maangamizi..
![]()