Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Alooo kamati ya ufundi ya mikia ni hataree kweli kweli,
Yaani ni ku score extra time ya kipindi cha kwanza,
 
Masau Bwire kasema leo anakuja na rungu.Sasa kama anadhani simba ni nyau aje tu! Yaani simba mnyama umue na rungu? Leo ndiyo atajua maana ya NGUVU MOJA.
Rungu lililo ndani ya kaptula ya Mo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…