Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Na iwe draw au kipigo kwa Paka la Msimbazi. Wote tuseme ameen

Wewe Jishuwe tu Na False hope Yako hiyo...
Wacha Nishike Remote Nikaribie TV nimuone Mnyama Akiwararua Hawa Madogo.....
Halafu Ziku Hizi Timu Zote Zinaomba Mechi Yao Na Simba ifike ili Zijipe Promo....
Manake Wanajua Fika Wakicheza Na Yeboyebo Hawapati Kujipa Promo Kutokana Na Miamala Yao inafanyika Mapema...
 
Msimamo wa ligi ulioweka hapo ni wa uongo. Timu ya wananchi ina Point 40 na sio 37 kama inavyoonyesha kwenye post namba moja.

Either mka update page yenu ta facebook or weka nyingine.
SI timu ya wananchi, ilikuwa lkn kwa sasa ni Timu ya Yusuf Manji wewe huna chako pale anamiliki zaidi ya asilimia 75😀😀😀
 
Dk 4, krosi nzuri ya Kichuya, Athanas anaunganisha tena, lakini Shooting wanaokoa
 
BY SALEH JEMBE

Home » Kitaifa » LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
RELATED POSTS
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti ka... Read more
KIKOSI CHA SIMBA IKIIVA RUVU SHOOTING UWANJA WA UHURU
KIKOSI 1. Daniel Agyei 2. Besaka Bukungu 3. Mohammed Hussein 4. Abdi Banda 5. Method Mwan... Read more
KIKOSI CHA RUVU SHOOTING IKIIVAA SIMBA LEO UWANJA WA UHURU
KIKOSI 1. Bidii Husein 18 2. Abdul Mpambika 12 3. Yusuph Nguya 2 4. Dam... Read more
IDDI CHECHE APEWA MIKOBA YA ZEBEN HUKU AZAM IKIMSUBIRI KALI ONGALA
IDDI CHECHE AKIMSIMAMIA MAZOEZI MMOJA WA VIJANA WA TIMU YA AZAM FC Azam FC imekiri kuanza mazung... Read more
KAIKE AAMBIWA ALIPELEKE SUALA LA CHEKA MAHAKAMANI
Suala la bondia, Francis Cheka sasa linakwenda mahakamani. Polisi Morogoro imemtaka mlalami... Read more
0 COMMENTS:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Comment as:
Publish Preview
GONGA HAPA KWENDA AZAM TV
SALEH ALLY
VIEW MY COMPLETE PROFILE
If you are not automatically redirected, click here .
Wanaofuatilia (282) Endelea
Fuata
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: AFRICAN LYON 1 VS 1 YANGA (FULL TIME)
MPIRA UMEKWISHAAAAAAA KADI Kipa Rostand Youthe analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda kwa makusudi kabisa -Kipa wa Lyon anae...
BREAKING NEWS: AZAM FC IMEWATIMUA MAKOCHA WAKE WOTE RAIA WA HISPANIA
Azam FC imemtimua Kocha wake Mkuu, Zeben Hernandez. Zeben na makocha wengine raia wa Hispania, wametimuliwa kazi leo baad...

Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti kali, kipa anadaka mpira unamtoka lakini anawahi
 
Jamani Simba ni wazuri ila Yanga hata siwapendi ila ukweli wako vizuri mno. Ukiangalia move ya kutafuta goli unaona mpira fulani mzuri hadi naumia moyoni. Yanga sema wana shida ya kuzuia wachezaji kwenda kucheza nje ila jamani ukitizama wanavyosukuma kutafuta goli woooow!
 
Huyu Athanas Pastory lazma awalaze hawa wajeda mapema kabisa
 
BY SALEH JEMBE

Home » Kitaifa » LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
RELATED POSTS
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti ka... Read more
KIKOSI CHA SIMBA IKIIVA RUVU SHOOTING UWANJA WA UHURU
KIKOSI 1. Daniel Agyei 2. Besaka Bukungu 3. Mohammed Hussein 4. Abdi Banda 5. Method Mwan... Read more
KIKOSI CHA RUVU SHOOTING IKIIVAA SIMBA LEO UWANJA WA UHURU
KIKOSI 1. Bidii Husein 18 2. Abdul Mpambika 12 3. Yusuph Nguya 2 4. Dam... Read more
IDDI CHECHE APEWA MIKOBA YA ZEBEN HUKU AZAM IKIMSUBIRI KALI ONGALA
IDDI CHECHE AKIMSIMAMIA MAZOEZI MMOJA WA VIJANA WA TIMU YA AZAM FC Azam FC imekiri kuanza mazung... Read more
KAIKE AAMBIWA ALIPELEKE SUALA LA CHEKA MAHAKAMANI
Suala la bondia, Francis Cheka sasa linakwenda mahakamani. Polisi Morogoro imemtaka mlalami... Read more
0 COMMENTS:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Comment as:
Publish Preview
GONGA HAPA KWENDA AZAM TV
SALEH ALLY
VIEW MY COMPLETE PROFILE
If you are not automatically redirected, click here .
Wanaofuatilia (282) Endelea
Fuata
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: AFRICAN LYON 1 VS 1 YANGA (FULL TIME)
MPIRA UMEKWISHAAAAAAA KADI Kipa Rostand Youthe analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda kwa makusudi kabisa -Kipa wa Lyon anae...
BREAKING NEWS: AZAM FC IMEWATIMUA MAKOCHA WAKE WOTE RAIA WA HISPANIA
Azam FC imemtimua Kocha wake Mkuu, Zeben Hernandez. Zeben na makocha wengine raia wa Hispania, wametimuliwa kazi leo baad...
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti kali, kipa anadaka mpira unamtoka lakini anawahi
Mkuu edit basi tuelewe au unataka tukusaidie
 
Simba tujipange vizuri kwa kweli jamaa wazuri sana. Hasa pale mbele wooow jamaa ni wapinzani lakini hadi raha. Nawashangaa sana kimataifa ZERO!
 
BY SALEH JEMBE

Home » Kitaifa » LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
RELATED POSTS
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti ka... Read more
KIKOSI CHA SIMBA IKIIVA RUVU SHOOTING UWANJA WA UHURU
KIKOSI 1. Daniel Agyei 2. Besaka Bukungu 3. Mohammed Hussein 4. Abdi Banda 5. Method Mwan... Read more
KIKOSI CHA RUVU SHOOTING IKIIVAA SIMBA LEO UWANJA WA UHURU
KIKOSI 1. Bidii Husein 18 2. Abdul Mpambika 12 3. Yusuph Nguya 2 4. Dam... Read more
IDDI CHECHE APEWA MIKOBA YA ZEBEN HUKU AZAM IKIMSUBIRI KALI ONGALA
IDDI CHECHE AKIMSIMAMIA MAZOEZI MMOJA WA VIJANA WA TIMU YA AZAM FC Azam FC imekiri kuanza mazung... Read more
KAIKE AAMBIWA ALIPELEKE SUALA LA CHEKA MAHAKAMANI
Suala la bondia, Francis Cheka sasa linakwenda mahakamani. Polisi Morogoro imemtaka mlalami... Read more
0 COMMENTS:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Comment as:
Publish Preview
GONGA HAPA KWENDA AZAM TV
SALEH ALLY
VIEW MY COMPLETE PROFILE
If you are not automatically redirected, click here .
Wanaofuatilia (282) Endelea
Fuata
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: AFRICAN LYON 1 VS 1 YANGA (FULL TIME)
MPIRA UMEKWISHAAAAAAA KADI Kipa Rostand Youthe analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda kwa makusudi kabisa -Kipa wa Lyon anae...
BREAKING NEWS: AZAM FC IMEWATIMUA MAKOCHA WAKE WOTE RAIA WA HISPANIA
Azam FC imemtimua Kocha wake Mkuu, Zeben Hernandez. Zeben na makocha wengine raia wa Hispania, wametimuliwa kazi leo baad...
LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA
Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti kali, kipa anadaka mpira unamtoka lakini anawahi

Dk 11, mpira umesimama hapa Kisiga akiwa anatibiwa hapa

Dk 9, Simba wanafanya shambulizi la haraka, Mwanjale anapanda akigongeana na wenzake, anatoa krosi safi kwa Pastory, yeye na nyavu anapaishaa buuuuu]

Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti kali, kipa anadaka mpira unamtoka lakini anawahi

Dk 4, krosi nzuri ya Kichuya, Athanas anaunganisha tena, lakini Shooting wanaokoa
Dk 2, krosi safi ya Zimbwe, Athanas anapiga kichwa hapa lakini ni goal kick

Dk 1, Simba wanaanza kwa kasi wakionekana wamepania kupata bao
 
Back
Top Bottom