Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

Huyu banda.. ni hazina kubwa sana katika soka la Tanzania.
 
Omog na Mayanja wanatakiwa wafanyie kazi sana safu ya ushambuliaji huu ushindi wa goal moja moja hauridhishi
Angebaki MO Ibrahim goli zingepatikana ila LUIZIO ni mzigo hauna tofauti na Mavugo
 
Maafande piga hao mikia warudi msimbazi kuuza mitumba

Piga hao Mikia FC tumalize mwaka vizuri.

Simba 0......Ruvu Shooting 3

Masau bwile

ruvu jesh kamata huyo mkia rudisha huko porin kwe nafas yake ya tatu alioizoea

Na iwe draw au kipigo kwa Paka la Msimbazi. Wote tuseme ameen

ruvu team piga mnyamaaa

Anapigwa simba Leo correct score simba 0 Jkt 1

Simba Koko

Ruvu shooting umefanya mazoezi ya kuwinda binadamu utashindwa kummaliza mnyama wa porini ambaye ananguvu nyingi lakini akili kidogo!!!

Simba timu............FUNGWA goli moja tu au udroo mambo yawe safi

Simba kapigwa goli hapa...

Dakika za refa | Simba 1 - 0 Ruvu Shootings

Mo Ibrahim ( Simba)

********* END OF UPDATE**********

Hii game ni draw

Kweli mna kiu ya ubingwa! !!! Hako kagoli kamoja ndo kanawaamsha popo?
Full Time; Simba SC 1-0 Ruvu Shooting.

Tukutane Mapinduzi Cup.
 
Bahati imeamua mchezo. Timu yangu naomba itafute dawa ya namba 9 na 10 hizo ni majanga kabisa msimbazi.
 
Back
Top Bottom