OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
Mamlaka zisiogope kuishusha daraja Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku nasema na Narudia Simba na Yanga ni mradi wa ccm kuwapumbaza watu ,makosa ya timu yanapelekwa kwenye chama cha soka cha nchi husika sasa inapotokea binadamu akapeleka mpira kwa polisi hasa Tanzania hapo hakuna mpira kuna kupoteza muda na pesa zenu ,poleni sana wanazi wa Simba na Yanga
1986 kina mzee makongoro walifungiwa maisha na CAF wkijaribu kumuhonga refa ili washinde mechi ya afrikaKuna kumbukumbu ya yanga kuhonga marefa kwenye michuano ya klabu bingwa afrika viongozi wake wakafungiwa maisha bado wanaendelea na huo mchezo mpaka sasa
Rushwa inachunguzwa wapi?Kila siku nasema na Narudia Simba na Yanga ni mradi wa ccm kuwapumbaza watu ,makosa ya timu yanapelekwa kwenye chama cha soka cha nchi husika sasa inapotokea binadamu akapeleka mpira kwa polisi hasa Tanzania hapo hakuna mpira kuna kupoteza muda na pesa zenu ,poleni sana wanazi wa Simba na Yanga
Mtajitetea kwenye Vyombo vya dolaAliyekua kocha wa Simba Patrik phili aliwahi kukiri Simba kuchukua ubingwa bila kufungwa Ila walihonga sana, Akiyewahi kua Mchezaji wa Simba Ulimboka Mwakingwe alisha wahi shikiliwa na polisi baada ya kipa shaabani kado wa Mtibwa kukataa pesa aliyopelekewa na Ulimboka ikiaisaidie Simba iifunge Mtibwa, Shaabani kabwili aliwahi kuweka bayana njama za Viongozi wa Simba kumtaka afanye mipango apewe kadi ili asiweze kudaka Mechi ya Simba na Yanga.
Simba ina utamaduni wa kuhonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani kwa muda mrefu, Vitendo hivyo hushindwa kuvifanya kwenye michuano mikubwa mwishoe hupigwa Goli tanotano.
Mapovu ya nini?Aliyekua kocha wa Simba Patrik phili aliwahi kukiri Simba kuchukua ubingwa bila kufungwa Ila walihonga sana, Akiyewahi kua Mchezaji wa Simba Ulimboka Mwakingwe alisha wahi shikiliwa na polisi baada ya kipa shaabani kado wa Mtibwa kukataa pesa aliyopelekewa na Ulimboka ikiaisaidie Simba iifunge Mtibwa, Shaabani kabwili aliwahi kuweka bayana njama za Viongozi wa Simba kumtaka afanye mipango apewe kadi ili asiweze kudaka Mechi ya Simba na Yanga.
Simba ina utamaduni wa kuhonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani kwa muda mrefu, Vitendo hivyo hushindwa kuvifanya kwenye michuano mikubwa mwishoe hupigwa Goli tanotano.
JINAI HAINA KIKOMO KAFUNGUENI JALADA YASIISHIE MANENO TU,KAFUNGUENI KESI PHIRI BADO YUPO HAI HUKO ZAMBIA ATAKUJA KUTOA USHAHIDIAliyekua kocha wa Simba Patrik phili aliwahi kukiri Simba kuchukua ubingwa bila kufungwa Ila walihonga sana, Akiyewahi kua Mchezaji wa Simba Ulimboka Mwakingwe alisha wahi shikiliwa na polisi baada ya kipa shaabani kado wa Mtibwa kukataa pesa aliyopelekewa na Ulimboka iliawaisaidie Simba iifunge Mtibwa, kipa wa Yanga Shaabani kabwili aliwahi kuweka bayana njama za Viongozi wa Simba kumtaka afanye mipango apewe kadi ili asiweze kudaka Mechi ya Simba na Yanga.
Simba ina utamaduni wa kuhonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani kwa muda mrefu, Vitendo hivyo hushindwa kuvifanya kwenye michuano mikubwa mwishoe hupigwa Goli tanotano.
Yanga tarehe 7 November alihonga refa akapewa penati ya maelekezoAliyekua kocha wa Simba Patrik phili aliwahi kukiri Simba kuchukua ubingwa bila kufungwa Ila walihonga sana, Akiyewahi kua Mchezaji wa Simba Ulimboka Mwakingwe alisha wahi shikiliwa na polisi baada ya kipa shaabani kado wa Mtibwa kukataa pesa aliyopelekewa na Ulimboka iliawaisaidie Simba iifunge Mtibwa, kipa wa Yanga Shaabani kabwili aliwahi kuweka bayana njama za Viongozi wa Simba kumtaka afanye mipango apewe kadi ili asiweze kudaka Mechi ya Simba na Yanga.
Simba ina utamaduni wa kuhonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani kwa muda mrefu, Vitendo hivyo hushindwa kuvifanya kwenye michuano mikubwa mwishoe hupigwa Goli tanotano.
ULIONA ZILE CHATS ZA WHATSAP KATI YA SENZO NA MBAGA?Kuna vitu vingine bwana,Simba ikifungwa inahujumiwa,Wtf.