Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nywele zake zile chotara wa kicolombia yule na kibongoYule CEO mwanamke tutamvua wigi hadharani
Kwan zile chats una uhakika gan kwamba zilikuwa na malengo hasi?,Simba mnajiona sana but jueni kwamba mnashangaza sana kwenye soccer,kinachonikera et nyie mkifungwa mnahujumiwa na wakat msimu uliopita mlikuwa mnafunga magoli ya offside mnacheza mpra adi nje ya uwanja refa anapeta tu,wengine wakifungwa kicheko kwenu.ULIONA ZILE CHATS ZA WHATSAP KATI YA SENZO NA MBAGA?
hao marefa kama walikula rushwa na ushahidi mnao nendeni kashtakini jamani,jinai haina kikomo ndugu milango iko wazi,ukisema magoli hata msimu huu tunayo mengi tu sasa upuuzi wa hujuma hadi kwa wapishi mnataka kutuulia wachezaji wetuKwan zile chats una uhakika gan kwamba zilikuwa na malengo hasi?,Simba mnajiona sana but jueni kwamba mnashangaza sana kwenye soccer,kinachonikera et nyie mkifungwa mnahujumiwa na wakat msimu uliopita mlikuwa mnafunga magoli ya offside mnacheza mpra adi nje ya uwanja refa anapeta tu,wengine wakifungwa kicheko kwenu.
Inamaana mimi sijui kutofautisha Kati ya kocha phili na kibadeni?Phili hajawahi kusema hivyo aliyesema kuna rushwa michezoni na ana ushahidi ni Kibadeni na aliitwa kuhojiwa TFF lakini kama kawaida TFF walikaa kimya, issue za Ulimboka na Kabwili zilimalizwa kimyakimya kwa kujua tabia ya TFF ndio maana Simba wakapeleka taarifa polisi tayari mwenyekiti wa yanga Mshindo Msolwa keshaanza kulalamika kwanini hawakwenda TFF
Hujui Phili hajawahi kuongea hivyo bali Kibadeni aliongea na kusema kuna rushwa na hata akiitwa atatoa ushahidiInamaana mimi sijui kutofautisha Kati ya kocha phili na kibadeni?
Pumba nyie kalia tako moko.
Nendeni mkashitaki sio kulialia na tuhuma za uwongo Simba wamethubuti wamepeleka tuhuma polisi nyinyi kama mna ushahidi kwanini msipeleke taarifa polisi au takukuruKipa wa yanga yule dogo alieleza simba walitaka kimpa hela afungishe hiyo hoja TFF wameikalia kimya.ila mikia lialia mna hangaika sana
Yaani mkuu katika msimu ambao nimewadharau Simba ni this season,Simba kufungwa tu et inahujumiwa,wakat last season Simba ilipata favour nyingi sana hasa yale magoli ya offside ya waz kabisa ata kama mchezaji ukikaa chini ukaanza kuangalia namna ulivyofunga ni lazima tu utashtuka kwamba hapa refa amelikubalije hili goli,yule Mmakonde alikokota mpira mpaka nje ya mstari wa uwanja mbele ya mshika kibendera hakuna kilichofanyika,TFF inawahribien tim yenu asee mna mambo ya kishamba sana,mambo mengine inatakiwa muelewe kwamba mpira una matokeo yake na hili ata kama mkielezwa haingii kwenye vichwa vyenu,kwenye mpira kubaliana na matokeo yake ambayo yanajulikana Duniani,kushinda,kushindwa na kusuluhu.Nendeni mkashitaki sio kulialia na tuhuma za uwongo Simba wamethubuti wamepeleka tuhuma polisi nyinyi kama mna ushahidi kwanini msipeleke taarifa polisi au takukuru
Safe ndio nina watesa simba,au kuna jambo la ziada silifahamu?
Hakuna sehem nilipozungumzia refa kupewa rushwa,mbona unachanganya mkuu,mie nimezungumzia hizo chats mnazodai kwamba tim yenu ya Tff Simba inahujumiwa na one of your official, mna uhakika gan kwamba zilikuwa ni za kuwahujumu?hao marefa kama walikula rushwa na ushahidi mnao nendeni kashtakini jamani,jinai haina kikomo ndugu milango iko wazi,ukisema magoli hata msimu huu tunayo mengi tu sasa upuuzi wa hujuma hadi kwa wapishi mnataka kutuulia wachezaji wetu
Usilolijua yanga ina record nzuri kuliko simba za kimataifa.Yanga imekuwa tabia yao kila wakiwa na vihela kidogo.
Ndio maana rekodi zao kimataifa si nzuri hata kidogo ukilinganisha na Simba,ijapo tunajua kiwango chetu cha soka bado kipo chini
Simba nusu fainali klabu bingwa 74,fainali caf 93,robot mwaka juzi,Nipee za utopolloUsilolijua yanga ina record nzuri kuliko simba za kimataifa.
Kama zipi mkuu?😁Usilolijua yanga ina record nzuri kuliko simba za kimataifa.
Yale magoli kona mmesahau, penati za azam walizonyimwa, penati ya kagera nje ya penati box na kadi ya awesu hizo ni mechi za msimu uliopita.Yaani mkuu katika msimu ambao nimewadharau Simba ni this season,Simba kufungwa tu et inahujumiwa,wakat last season Simba ilipata favour nyingi sana hasa yale magoli ya offside ya waz kabisa ata kama mchezaji ukikaa chini ukaanza kuangalia namna ulivyofunga ni lazima tu utashtuka kwamba hapa refa amelikubalije hili goli,yule Mmakonde alikokota mpira mpaka nje ya mstari wa uwanja mbele ya mshika kibendera hakuna kilichofanyika,TFF inawahribien tim yenu asee mna mambo ya kishamba sana,mambo mengine inatakiwa muelewe kwamba mpira una matokeo yake na hili ata kama mkielezwa haingii kwenye vichwa vyenu,kwenye mpira kubaliana na matokeo yake ambayo yanajulikana Duniani,kushinda,kushindwa na kusuluhu.
Mkuu naona unachanganya mambo.Yale magoli kona mmesahau, penati za azam walizonyimwa, penati ya kagera nje ya penati box na kadi ya awesu hizo ni mechi za msimu uliopita.
Penati ya kmc na simba mlizopewa mmesahau, goli la gwambina
Huyo Senzo wako ameshameza ndoano na haitemeki kwasasa ni mwendo wa nenda rudi kwenye vyombo husika..!Na ataondoka na ufala wake..!Senzo kuwagomea kuingia mkataba wa kutotoa siri kati yake na Mikia. Hiyo Non Disclosure Agreement mnufaika ni Mikia.
Senzo hana cha kuficha zaidi ya kumwaga ukweli mezani.
Mikia wameamua kumfanyia umafia ili hatimaye wamchafue na aondoke nchini. .
Hawatafika popote zaidi ya kuwapa matumaini hewa mambumbumbu wao.
Wewe ndio unajichanganyaMkuu naona unachanganya mambo.