Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Huyo police anayekula hela za Mo ili kumharass Senzo atapoteza kazi yake.Huyo Senzo wako ameshameza ndoano na haitemeki kwasasa ni mwendo wa nenda rudi kwenye vyombo husika..!Na ataondoka na ufala wake..!
MOTL sijui kwenye mpira pekee. Uliza ya Mkemia Mkuuwa serikali wakati ule.