Simba SC yalaani upangaji wa matokeo, yaahidi kutoa ushirikiano kwa mamlaka

ndio upeleke kesi mahakamani
 
Kwa hiyo kama ilikua hivyo, hili la sasa liachwe lipite? Maisha ya mazoea hayana nafasi. By the way, hivi vilabu viwili ni pasua kichwa sana Tanzania
 
Senzo kuwagomea kuingia mkataba wa kutotoa siri kati yake na Mikia. Hiyo Non Disclosure Agreement mnufaika ni Mikia.

Senzo hana cha kuficha zaidi ya kumwaga ukweli mezani.

Mikia wameamua kumfanyia umafia ili hatimaye wamchafue na aondoke nchini. .

Hawatafika popote zaidi ya kuwapa matumaini hewa mambumbumbu wao.
 
FBI WALIMKAMATA BLATTER..KUNA MIFANO MINGI SANA YA KESI ZA RUSHWA KUCHUGUZWA NA POLISI ANGALIA HII SCREENSHOT
 

Attachments

  • POLISI NA SOKA.JPG
    26.9 KB · Views: 1
Mmesahau mlivyo gushi saini ya Singano messi???
 
Kuna kumbukumbu ya yanga kuhonga marefa kwenye michuano ya klabu bingwa afrika viongozi wake wakafungiwa maisha bado wanaendelea na huo mchezo mpaka sasa
Alikuwa katibu mkuu wa zamani wa Yanga Issa Makongoro.
Alijaribu kuwahonga waamuzi sh alfu 30,000 za Tanzania kwenye mchezo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya miaka ya 80.
Kwa kitendo hicho CAF ilimfungia maisha kujihusisha na mchezo wa soka
 
JINAI HAINA KIKOMO,NI WAKATI WA WALIOHUSIKA KUGHUSHI WAFUNGULIWE KESI POLISI,SINGANO YPO HAPO ZAMBIA TU ANAPATIKANA KIRAHISI
kwanza Serkali ni yetu huko mlikokwenda na nayanga baba mmoja mkuu... Kijani na Njano ndio kimeshika nchi bro


[emoji16][emoji16][emoji16] Mtani mwaka huu hutoki
 
Ni vema kesi za aina hii zifikishwe kwenye vyombo husika ili kuvikomesha
 
Phili hajawahi kusema hivyo aliyesema kuna rushwa michezoni na ana ushahidi ni Kibadeni na aliitwa kuhojiwa TFF lakini kama kawaida TFF walikaa kimya, issue za Ulimboka na Kabwili zilimalizwa kimyakimya kwa kujua tabia ya TFF ndio maana Simba wakapeleka taarifa polisi tayari mwenyekiti wa yanga Mshindo Msolwa keshaanza kulalamika kwanini hawakwenda TFF
 
Yanga imekuwa tabia yao kila wakiwa na vihela kidogo.
Ndio maana rekodi zao kimataifa si nzuri hata kidogo ukilinganisha na Simba,ijapo tunajua kiwango chetu cha soka bado kipo chini
Simba imeshiriki michuano ya kimataifa mara ngapi? Tuweke rekodi ya Simba ya kila msimu alioshiriki michuano ya kimataifa tuone
 
Ndo mana sina ushabiki na hizo timu zenu kabisa
 
Ahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…