NakaziaBora wamemfuta kazi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumelingana sasa
tyc, Mie ntakwenda kuingalia Simba bila shaka yoyote, unatolewaje round ya kwanza champions league.
Point ipo kwenye USAJILI mzee...Haiwezekani usajilie kocha magarasa halafu uachie majembe yaondoke utegee apate mafanikio kwa muda mfupi.Simba walichemsha kweye Usajili.Ful stop.Uswahili kwenye vilabu ni donda nduguKweli watu tunatofautiana sana, hivi kwa uwekezaji ulofanyika Simba timu inaondolewa club bingwa round ya kwanza then mtetee huyo kocha? kwa uwekezaji huo mkubwa timu inapoteza mchezo dhidi ya wachezaji wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku afu kocha asiwajibike? Upuuzi mtupu.
Pamoja na akina Okwi na Niyonzima chini ya Aussems tulikuwa tunakula 5 kama tumesimama
timu imejaa wachezeshaji simba hatukuwahi kuwa na tatizo la viungo wachezeshaji tulikuwa na tatizo la beki mbili pale Kapombe anapoumia lakini usajili wa mbadala wa Kapombe umefanywa dakika za lala salama na bado inaonekana hawezi kuziba pengo lake, shabalala alitakiwa atafutiwe mtu wa kumpa changamoto na pia tulihitaji beki wa kati hasa baada ya Nyoni kupata majeraha na wawa kuwa mzito pale mbele tulihitaji kuongeza mshambuliaji mmoja na kubakiza washambuliaji wote wakiwemo kina Okwi lakini wanafanya usajili wa ovyo halafu wanamtwisha mzigo refarmbu iangalie simba vizuri kunakitu utagundua uwekezaji walio ufanya safari hii niwakiuni unasajili viungo wegi tena wenye tamaduni moja yauchezaji unastraika mmoja
Mimi si shabiki wa mpira, lakini ni wazi Tanzania huwa tunataka tuvune haraka haraka hata bila kupanda (ku-invest). Hatuna malengo ya, na uvumilivu wa, muda mrefu. Timu inafanya vizuri unafukuza kocha. Tuitakie Simba kheri na fanaka.Mi ni simba ila naona wamekosea kumtimua kwa sababu timu haikuwa katika hali ya hatari.
Mzee baba umenena vizur,,UKWELI USEMWE JAPO WAUMA PATRICK AUSSEMS AMETUAGA KWA. SENTENSI MOJA TU NA YENYE MANENO MAWILI MAKUBWA YA KUTAFAKARI KUHUSU BODI, BADALA YAKE VIONGOZI WETU KUDHIHIRISHA UMBUMBU WETU MKATIA HOTUBA ILIYOJAA KEJELI KUPITIA MANARA KAMA VILE HAKUNA JEMA HATA MOJA ALILOFANYA AUSSEMS
HII IMEDHIHIRISHA ALOSEMA KOCHA NI KWELI BODI IMEJAA MBUMBUMBU NA WAONGO
INAUMA SANA
Yaani kubadilisha kote mfumo lakini umbumbumbu wameshindwa kuuteketeza
Umbumbumbu ni mzigo
Duuh! Hahahaha Haji kaweka fact!!!! Tangu lini kaaanza kuongea fact uyo jamaa. Umbumbumbu ni nomaaHaji kaweka facts wewe umeweka pumba tena kwa herufi kubwa