Simba SC Yamfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems

Simba SC Yamfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems

tyc, Mie ntakwenda kuingalia Simba bila shaka yoyote, unatolewaje round ya kwanza champions league.

Chesty, msimu huu uongozi wa Simba umeleta wachezaji wapya KUMI ( Kahata, Deo Kanda, wabrazili 3, Shiboub, kakolanya, Gadiel Michael, Haruna Shamte na Miraji Athumani).
Na ikawaacha wachezaji SITA ( Okwi, Zana, Niyonzima, Kwasi, Gyan, Kotei) waliochangia mafanikio makubwa ya Simba kufika robo fainali CAF champ.

Sasa kwa scenario hio ya kuingiza rundo la wachezaji wapya KUMI kikosini unategemea kocha Aussems afanye miujiza gani ili timu itengeneze mfumo wa haraka wa kuelewana ndani ya muda mfupi na kufanya vizuri kwenye michuano iliyokuwa mbele yao miezi chache iliyofuata??????

Class of 92' ya Man utd chini ya Fergie imekaa kwa pamoja muda mrefu ndipo wakafanikiwa kutawala epl na kubeba ndoo epl, fa, uefa trophy,,,,,angalia Barca ya Pep Guardiola, Man City ya Pep, Liverpool ya Benitez iliyochukua ndoo uefa, Liverpool ya Klopp nk

Uongozi wa Simba umechemka, na kiukweli itatuchukua misimu mingine mingi kuja kufikia mafanikio ya msimu uliopita kwa huu upuuzi unaofanywa na viongozi wa vilabu vyetu kila mara wa kufukuza makocha.Hatuna mipango ya muda mrefu wala muda mifupi, tupo tupo tu!!
 
Kweli watu tunatofautiana sana, hivi kwa uwekezaji ulofanyika Simba timu inaondolewa club bingwa round ya kwanza then mtetee huyo kocha? kwa uwekezaji huo mkubwa timu inapoteza mchezo dhidi ya wachezaji wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku afu kocha asiwajibike? Upuuzi mtupu.
Point ipo kwenye USAJILI mzee...Haiwezekani usajilie kocha magarasa halafu uachie majembe yaondoke utegee apate mafanikio kwa muda mfupi.Simba walichemsha kweye Usajili.Ful stop.Uswahili kwenye vilabu ni donda ndugu
 
rmbu iangalie simba vizuri kunakitu utagundua uwekezaji walio ufanya safari hii niwakiuni unasajili viungo wegi tena wenye tamaduni moja yauchezaji unastraika mmoja
timu imejaa wachezeshaji simba hatukuwahi kuwa na tatizo la viungo wachezeshaji tulikuwa na tatizo la beki mbili pale Kapombe anapoumia lakini usajili wa mbadala wa Kapombe umefanywa dakika za lala salama na bado inaonekana hawezi kuziba pengo lake, shabalala alitakiwa atafutiwe mtu wa kumpa changamoto na pia tulihitaji beki wa kati hasa baada ya Nyoni kupata majeraha na wawa kuwa mzito pale mbele tulihitaji kuongeza mshambuliaji mmoja na kubakiza washambuliaji wote wakiwemo kina Okwi lakini wanafanya usajili wa ovyo halafu wanamtwisha mzigo refa
 
tyc, Hao wachezaji waliofika QF klabu bingwa Afrika walitengenezwa na watangulizi wa Aussems na sio yeye. Amepata sifa zilizopikwa na wenzake.

Regular players wa Simba ni almost 70 pc wachezaji wa misimu iliyopita, sioni ni kitu gani kilimshinda Aussems kutengeneza timu bora. Regular players ni hawa;

1. Manula
2. M. Hussein
3. Nyoni
4. Wawa
5. Mkude
6. Mzamiru
7. Boko
8. Meddie Kagere
9. Chama

Wachezaji 9 bora kabisa unao wa misimu iliyopita halafu unashindwa kuwaingiza wachezaji wapya kwenye mfumo! Wewe kocha au mwanamieleka?
 
Mi ni simba ila naona wamekosea kumtimua kwa sababu timu haikuwa katika hali ya hatari.
Mimi si shabiki wa mpira, lakini ni wazi Tanzania huwa tunataka tuvune haraka haraka hata bila kupanda (ku-invest). Hatuna malengo ya, na uvumilivu wa, muda mrefu. Timu inafanya vizuri unafukuza kocha. Tuitakie Simba kheri na fanaka.
 
UKWELI USEMWE JAPO WAUMA PATRICK AUSSEMS AMETUAGA KWA. SENTENSI MOJA TU NA YENYE MANENO MAWILI MAKUBWA YA KUTAFAKARI KUHUSU BODI, BADALA YAKE VIONGOZI WETU KUDHIHIRISHA UMBUMBU WETU MKATIA HOTUBA ILIYOJAA KEJELI KUPITIA MANARA KAMA VILE HAKUNA JEMA HATA MOJA ALILOFANYA AUSSEMS

HII IMEDHIHIRISHA ALOSEMA KOCHA NI KWELI BODI IMEJAA MBUMBUMBU NA WAONGO

INAUMA SANA
 
Uchebe amesemaje??? Tuma maneno aliyoyasema yeye na sio polojo nyingiii kutoka kwako.
Weka neno la uchebe na weka hyo hotuma sijui kutoka kwa uhongozi
 
Yaani kubadilisha kote mfumo lakini umbumbumbu wameshindwa kuuteketeza

Umbumbumbu ni mzigo
 
UKWELI USEMWE JAPO WAUMA PATRICK AUSSEMS AMETUAGA KWA. SENTENSI MOJA TU NA YENYE MANENO MAWILI MAKUBWA YA KUTAFAKARI KUHUSU BODI, BADALA YAKE VIONGOZI WETU KUDHIHIRISHA UMBUMBU WETU MKATIA HOTUBA ILIYOJAA KEJELI KUPITIA MANARA KAMA VILE HAKUNA JEMA HATA MOJA ALILOFANYA AUSSEMS

HII IMEDHIHIRISHA ALOSEMA KOCHA NI KWELI BODI IMEJAA MBUMBUMBU NA WAONGO

INAUMA SANA
Mzee baba umenena vizur,,

Simba kuna shida,, na hilo genge lao la kaduguda,, ngoja uone, ni swala la Muda,, tena ikatokea mechi na mtani tupigwe [emoji3]
 
Hao viongozi na Manara wote mpaka sasa wameshindwa kutoa sababu ya msingi ya kumfukuza kocha. Wamebaki kujikanyaga kanyaga tu. Mbaya zaidi hata hiyo bodi ya Simba haina siri ina uswahili mwingi kwani taarifa za kufukuzwa kocha zilivuja kwenye vyombo vya habari mwezi mzima kabla hawajatekeleza azma yao. Shida kubwa ya mpira wa bongo umewavamiwa na watu wasiojua mpira kwa undani.
 
Hamia kwa yanga na utukome na umbumbu wetu
 
Na kwa hasira tutawapiga mingi sana hiyo Jan 04 nyie kama mnampenda sana mchukueni akae na mkwasa
 
Back
Top Bottom