Simba SC yamnasa mnyama Aubin Kramo

Mbona kama Simba inasajiri wachezaji wa aina moja? Sidhani kama Simba ina tatizo la kiungo ushambuliaji
  • Saido
  • Chama
  • Kibu
  • Banda
  • Phiri
  • Sacko
  • Onana
  • Karmo

Acha kuwastua mzee [emoji23][emoji23]
 
Simba kafungwa 17, Yanga kafungwa 18. Ila Simba wanahitaji kupata chuma kimoja kwa ajili ya upande wa kushoto na viwili kwa ajili ya sshemu ya beki wa kati.
Mbegu yupo usiwaze,pale kati anatua ngoma na efoe novon au banfa sylla,ni balaa hao ,wanajua haoooo
 
Hata kwa akina Nelson Okwah, Sawadogo, Mohamed Outarra, Augustine Okrah, Victor Akpan, Mlete Mzungu, na wengineo wengi! Story zilikuwa ni hizi hizi. Ila mwisho wa siku mambo yakawa ni tofauti kabisa.
anaweza akauwasha moto
 
Simba Imebakiwa na nafasi Moja tu.
Ya usajili.

Ama iwaache wachezaji kama
Banda, sakcho, Phili, kanute.

Changamoto kubwa ni
Golikipa.
Beki 5.
Kiungo 6.
Kiungo 8.
Mshambuliaji 9.

Lakini Hadi sasa nafasi nyeti na Muhimu kama hizi wapo kimya
Simba haiitaji no9 bro. Baleke anatosha maana simba kila mchezaji anafunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…