Simba SC yamnasa mnyama Aubin Kramo

Simba SC yamnasa mnyama Aubin Kramo

Simba kafungwa 17, Yanga kafungwa 18. Ila Simba wanahitaji kupata chuma kimoja kwa ajili ya upande wa kushoto na viwili kwa ajili ya sshemu ya beki wa kati.
Mbegu yupo usiwaze,pale kati anatua ngoma na efoe novon au banfa sylla,ni balaa hao ,wanajua haoooo
 
Simba Imebakiwa na nafasi Moja tu.
Ya usajili.

Ama iwaache wachezaji kama
Banda, sakcho, Phili, kanute.

Changamoto kubwa ni
Golikipa.
Beki 5.
Kiungo 6.
Kiungo 8.
Mshambuliaji 9.

Lakini Hadi sasa nafasi nyeti na Muhimu kama hizi wapo kimya
Simba haiitaji no9 bro. Baleke anatosha maana simba kila mchezaji anafunga
 
Back
Top Bottom