Simba Sc yamnyatia Striker Mromania Daniel Iliuta Popa

Chif Simba hapa ndani ishamaliza akuna tena wa kuisumbua,sasa wanafocus CAFCL,hii ndo maana ya Simba kuitwa The next level.
Kwa hiyo unaleta mchezaji wa kucheza michezo ya kimataifa tu, hii kweli ni sahihi ? Tumesahau kilichotokea kwa wale wachezaji walioajiriwa January kwa ajili ya CAF tu , wote waliondoka, kama kweli Simba wakifanikiwa kumsajili huyo Mzungu, most probably ataishia kuumia tu huko kwenye mashamba ya mpunga mikoani.
 
Lakini bado ataweza kucheza hivyo viwanja vizuri
 
Simba ina scouting wazuri kufanya vetting kwa wachezaji,Simba ina benchi zuri sana la ufundi,wewe kula ndizi nyama utazikuta chini huko.
 
Sawa na kama ataweza kupambana kwenye uchawi, haina shida
Mabingwa wa uchawi kwa nchi za maziwa makuu ni Congo yenye timu kama As Vita aliyepigwa kwao na kwa Mkapa. Wa mwisho kwa uchawi nchi za SADC ni South Africa ya Mamelody aliyempiga Mazembe kwao Congo na kwa Madiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…