OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Klabu ya Simba SC 🦁 imefikia makubaliano ya Usajili na mshambuliaji wa kimataifa wa Romania Daniel Iliuta Popa 🇷🇴 mwenye miaka 26.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nae anajua Kupiga Miba akaribie.View attachment 1889977
View attachment 1889978
Klabu ya Simba SC 🦁 imefikia makubaliano ya Usajili na mshambuliaji wa kimataifa wa Romania Daniel Iliuta Popa 🇷🇴 mwenye miaka 26.
Nilichogundua kwa huyu jamaa ni kutumia nafasi vizuri,kukaa eneo sahihi wanapofanya mashambulizi,ana target ya kufunga,mwepesi na anamatumizi mazuri ya mwili na akili.
anza kwanza na hii.
Ataweza kucheza kwenye misitu yenye mibaNilichogundua kwa huyu jamaa ni kutumia nafasi vizuri,kukaa eneo sahihi wanapofanya mashambulizi,ana target ya kufunga,mwepesi na anamatumizi mazuri ya mwili na akili.
Simba the next level.
Chif Simba hapa ndani ishamaliza akuna tena wa kuisumbua,sasa wanafocus CAFCL,hii ndo maana ya Simba kuitwa The next level.Ataweza viwanja vyetu vibovu vya mkoani au na Simba wanaleta Carlinhos mwingine?
Simba inasajili kwa malengo maalum na sio kusajili sajili tu,kuna michuano ya ndani na kimataifa ambapo Simba inawekeza nguvu zaidi huko.Ataweza kucheza kwenye misitu yenye miba
Kwa hiyo unaleta mchezaji wa kucheza michezo ya kimataifa tu, hii kweli ni sahihi ? Tumesahau kilichotokea kwa wale wachezaji walioajiriwa January kwa ajili ya CAF tu , wote waliondoka, kama kweli Simba wakifanikiwa kumsajili huyo Mzungu, most probably ataishia kuumia tu huko kwenye mashamba ya mpunga mikoani.Chif Simba hapa ndani ishamaliza akuna tena wa kuisumbua,sasa wanafocus CAFCL,hii ndo maana ya Simba kuitwa The next level.
Lakini bado ataweza kucheza hivyo viwanja vizuriKwa hiyo unaleta mchezaji wa kucheza michezo ya kimataifa tu, hii kweli ni sahihi ? Tumesahau kilichotokea kwa wale wachezaji walioajiriwa January kwa ajili ya CAF tu , wote waliondoka, kama kweli Simba wakifanikiwa kumsajili huyo Mzungu, most probably ataishia kuumia tu huko kwenye mashamba ya mpunga mikoani.
Sawa na kama ataweza kupambana kwenye uchawi, haina shidaSimba inasajili kwa malengo maalum na sio kusajili sajili tu,kuna michuano ya ndani na kimataifa ambapo Simba inawekeza nguvu zaidi huko.
Simba ina scouting wazuri kufanya vetting kwa wachezaji,Simba ina benchi zuri sana la ufundi,wewe kula ndizi nyama utazikuta chini huko.Kwa hiyo unaleta mchezaji wa kucheza michezo ya kimataifa tu, hii kweli ni sahihi ? Tumesahau kilichotokea kwa wale wachezaji walioajiriwa January kwa ajili ya CAF tu , wote waliondoka, kama kweli Simba wakifanikiwa kumsajili huyo Mzungu, most probably ataishia kuumia tu huko kwenye mashamba ya mpunga mikoani.
Lokosa,chikwede,mduhwa ndio malengo yenyewe hayo 😀,yule mduhwa mliisajili kwa mbwembwe hata kwenye benchi hajawahi kuonekanaSimba inasajili kwa malengo maalum na sio kusajili sajili tu,kuna michuano ya ndani na kimataifa ambapo Simba inawekeza nguvu zaidi huko.
Mabingwa wa uchawi kwa nchi za maziwa makuu ni Congo yenye timu kama As Vita aliyepigwa kwao na kwa Mkapa. Wa mwisho kwa uchawi nchi za SADC ni South Africa ya Mamelody aliyempiga Mazembe kwao Congo na kwa Madiba.Sawa na kama ataweza kupambana kwenye uchawi, haina shida
kwa hiyo waache kusajili kwa sababu Mduhwa hakuonekana bench. akili zingine banaLokosa,chikwede,mduhwa ndio malengo yenyewe hayo 😀,yule mduhwa mliisajili kwa mbwembwe hata kwenye benchi hajawahi kuonekana