Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ndio ujue kuna watu wanalewa mchana kweupe ππhapo kwa tau ni yule wa al ahl au tauc
nenda kagoogleNdo nini?
Hakuna club Tanzania inaweza kumsajili Percy Tau, haipoKumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Kwa lugha ya kisheria anatakiwa AJIONGEZE..... kuwa huduma yake haihitajiki tena...Hiyo statement bado kwangu iko paradox sana, hilo pumziko alilopewa lina maanisha kukatishwa mkataba au ni vacation tu ambayo ikiisha atarejea tena?
Anaondoka uyo tena nje ya Tanzania"Na safari yake ya soka hapo baadae" sijaelewa hapa..
Mchezaji asipokuwa na nidhamu ataiharibu timu....wachezaji wengine wataiga .lamda kama Morison mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka lakini kama ni simba imeamua kumuacha hapa tumekosea sana kumuachia Morison kisa nidhamu yake.
Tutayalamba tu hakuna namnaUto sijui watayalamba matapishi yao?
Huenda ndio katemwa."Na safari yake ya soka hapo baadae" sijaelewa hapa..
Pole sana, Gomez alikuwa analipwa milioni 29 kwa mwezi. Muwe mnafatilia vyombo vya habari jamani.Hii nayo ni chai. Hakuna mshahara huu hapa Tanzania.
Huyo jamaa ni bonge la mchezaji. Narudia tena ni bonge la mchezaji. Ila kichwani kwake anajua mwenyewe kuna nini. Nidhamu mbovu ni hatari sana kwa timu. Nafikiri Simba wameona kuwa:-
1. Anaweza kuambukiza tabia yake mbaya kwa wachezaji wengine.
2. Akiadhibiwa na timu maana yake timu inapungiwa wachezaji hasa ikitokea kuwa wachezaji wanaocheza nafasi yake ni majeruhi au wana kadi.
3. Akifanya utovu wa nidhamu asipoadhibiwa maana yake mchezaji mwingine akifanya kosa kama lake hataadhibiwa mwisho wa siku timu nzima inakuwa na nidhamu mbovu.
4. Akifanya kosa asipoadhibiwa anapunguza morali kwa wenzake na kuona kuwa anapendelewa.
5. .......................................
Eti ujio wa Luis,Tau na Adebayor. Kwa hela hizi hizi za kupitisha bakuli kwa Wanachama?Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Ndivyo ilivyo hivyo. Kama kwenye mapenzi tu, akitaka kukuacha anakwambia mpe break au anaomba space [emoji28][emoji28][emoji28]Ndio kaishaachwa huyo.