Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Wachezaji wanatimka kalipeni mishahara kwanza, ndipo mpate nguvu ya kuongea..Sisi tunajua kuliko nyie Mbute..!
haka kakocha kachalii kalitimuliwa Zambia kwa aibu, simba kweli mbumbumbu, hakuna kocha hapa, mmeenda kuokota kocha wa bei rahisi na kumfukuza Ausem kwa ajili ya wshahara mkubwa. huyu chalii haifikishi simba kokote, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja maana HAAMINIKI ?
 
We jamaa post zako ni kama unaishi kwa shemeji ako vile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.. Naona tunarudi zama zile za kumgonga Kwasu 5-0..SimbaNguvuMoja
Hakika hii mijitu ya kucheza draft upenuni mwa wahindi hii ni mifisadi tu sawa na majizi tu yale ya kijani. Mijitu inauzi kutwa kurudisha nyuma soka kwa kuwaza kuifunga Yanga tu maisha yote,hakuna kuwaza kusonga mbele?. Huu ni ubwege tu sawa na ya vidole juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba SC imefika robo fainali Afrika juzi tu, wewe usiyerudisha soka mbele umefika wapi jana?

Peleka mbele pumba zako huko, kushiriki kwenyewe mpaka Simba SC akubebe..!
Hakika hii mijitu ya kucheza draft upenuni mwa wahindi hii ni mifisadi tu sawa na majizi tu yale ya kijani. Mijitu inauzi kutwa kurudisha nyuma soka kwa kuwaza kuifunga Yanga tu maisha yote,hakuna kuwaza kusonga mbele?. Huu ni ubwege tu sawa na ya vidole juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hii mijitu ya kucheza draft upenuni mwa wahindi hii ni mifisadi tu sawa na majizi tu yale ya kijani. Mijitu inauzi kutwa kurudisha nyuma soka kwa kuwaza kuifunga Yanga tu maisha yote,hakuna kuwaza kusonga mbele?. Huu ni ubwege tu sawa na ya vidole juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafiki ni kitu kibaya sana. Hivi unaweza kuwaza kusonga mbele ilhali wachezaji wa Kwasu wanavunja mikataba kwasababu ya mishahara.
 
Wewe fikra zako zimeishia ukiifunga Yanga tu?. Hakika kuna namna ya kufanya kuondoa masalia haya ya mafunza

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulipoishia hiyo michuano robo fainali Kwasu alikuwa kundi gani? Tunakufunga kukuziba mdomo lakini malengo ya Simba kila mdau wa soka anaelewa

Labda kwa ufinyu wa akili yako utakuwa huwelewi..[emoji23]
 
Back
Top Bottom