Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Huyu kama tuta tafuta au kuangalia CV basi hata mwezi amalizi... Maana CV yake na ya matola hazipishani ila huyu ana bebwa na vyeti baasi...
 
Viongozi mnazingua sana uyo ndo ataweza kufanya cha maana kuiandaa team ifanye vzr kwenye club bingwa Africa kwel
 
Viongozi mnazingua sana uyo ndo ataweza kufanya cha maana kuiandaa team ifanye vzr kwenye club bingwa Africa kwel
 
Kusema kweli hapa tumecheza kamali ukilinganisha na profile ya Aussems

Lakini kwa kuwa mpira ni mchezo wa wazi tusubiri tuone ambacho viongozi wameona.
Screenshot_2019-12-11-23-19-39.jpeg
Screenshot_2019-12-11-23-25-23.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
haka kakocha kachalii kalitimuliwa Zambia kwa aibu, simba kweli mbumbumbu, hakuna kocha hapa, mmeenda kuokota kocha wa bei rahisi na kumfukuza Ausem kwa ajili ya wshahara mkubwa. huyu chalii haifikishi simba kokote, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja maana HAAMINIKI ?
Mo yupo kibiashara zaidi kaleta ka albino kengine. Nadhani lengo ni kuja kukafanya kawe kasemaji ka timu baada ya Manara kumaliza muda wake mana mikia wanapenda tusemaji twa dizaini hii.
 
Kheri Simba, lakini kama nia ni matokeo mazuri ya haraka haraka yaani ya muda mfupi-hata huyu mta mmwaga fast.
 
Tulipoishia hiyo michuano robo fainali Kwasu alikuwa kundi gani? Tunakufunga kukuziba mdomo lakini malengo ya Simba kila mdau wa soka anaelewa

Labda kwa ufinyu wa akili yako utakuwa huwelewi..[emoji23]
MO alikuwa anatoa $30,000 kwa marefa..hata ile mechi ya pili na Yanga mabeki watatu walitoka usiku kambini kwa msaada wa Canavaro kwenda kuchukua muamala mpaka Zahera akamkataa Meneja Canavaro...hao wachezaji wanaojiliza Mkwasa hawataki mbona PS ,Shikalo na Tshishimbi hawajavunja mkataba???hatupendi jokes
 
Back
Top Bottom