Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Alaa kumbe! Wewe unaangalia kufundisha timu nyingi, akina Zidane na Pep walifundisha wapi kabla hawajapata mafanikio Madrid, Barcelona..?
Ni kweli kabisa
tapatalk_1576130071105.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata Klabu bingwa bara bado unaanza kuongelea Afrika? Ndio maana tumempa mkataba wa mwaka mmoja, tupate kwanza ubingwa wa bara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali umenisaidia mkuu, unajua hata Patrick Aussems kuna walikuwa wakimpinga kwamba hana plan b kwahivyo kutaka kumrudhisha binadamu ni ngumu sana, hata angekuwa Guardiola wangehoji tu.
 
Back
Top Bottom