Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Acha kukariri. Cv sio lazima iwe kwenye pdf.Mi nasubir. Wenye cv yake tu nipate picha maana naona kama mnakuwa waoga kusema cv yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha majungu basiBalaa jingine zito
Kulia Sven kushoto ostazi matola
haka kakocha kachalii kalitimuliwa Zambia kwa aibu, simba kweli mbumbumbu, hakuna kocha hapa, mmeenda kuokota kocha wa bei rahisi na kumfukuza Ausem kwa ajili ya wshahara mkubwa. huyu chalii haifikishi simba kokote, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja maana HAAMINIKI ?
We jamaa post zako ni kama unaishi kwa shemeji ako vile..haka kakocha kachalii kalitimuliwa Zambia kwa aibu, simba kweli mbumbumbu, hakuna kocha hapa, mmeenda kuokota kocha wa bei rahisi na kumfukuza Ausem kwa ajili ya wshahara mkubwa. huyu chalii haifikishi simba kokote, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja maana HAAMINIKI ?
Kama wewe unavyomwakia shemeji ako asubuhi ukienda kazini we unabaki unachunga nyumbahuyu chalii itabidi asubuhi awe anawaamkia wakubwa zake akina Kagere " shikamoo"
wataelewana luga kweliBalaa jingine zito
Kulia Sven kushoto ostazi matola
kwa hivyo ni kimeo amaalikuwa kocha msaidizi wa Cameroon wakati wanachukua ubingwa wa afrika pia alikuwa kocha mkuu wa Zambia lakini hakuongezewa mkataba baada ya Zambia kushindwa kushiriki Afcon Misri
Cha msingi ni kwamba ana CV kubwa kuliko ya zahera
Kwanini wasielewane!!
Hahaha!
Hakika hii mijitu ya kucheza draft upenuni mwa wahindi hii ni mifisadi tu sawa na majizi tu yale ya kijani. Mijitu inauzi kutwa kurudisha nyuma soka kwa kuwaza kuifunga Yanga tu maisha yote,hakuna kuwaza kusonga mbele?. Huu ni ubwege tu sawa na ya vidole juuKulitaka Mwana Kulipewa Mwana.. Naona tunarudi zama zile za kumgonga Kwasu 5-0..SimbaNguvuMoja
Kwanini wasielewane!!
Wakati hata mbeligiji anaongea kiingereza.
Matola kitambo alishaenda kujibrush kwa Ras Simba.
Mkumbushe matola amecheza SA kwa miaka mingiKwanini wasielewane!!
Wakati hata mbeligiji anaongea kiingereza.
Matola kitambo alishaenda kujibrush kwa Ras Simba.
Hakika hii mijitu ya kucheza draft upenuni mwa wahindi hii ni mifisadi tu sawa na majizi tu yale ya kijani. Mijitu inauzi kutwa kurudisha nyuma soka kwa kuwaza kuifunga Yanga tu maisha yote,hakuna kuwaza kusonga mbele?. Huu ni ubwege tu sawa na ya vidole juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe fikra zako zimeishia ukiifunga Yanga tu?. Hakika kuna namna ya kufanya kuondoa masalia haya ya mafunzaSimba SC imefika robo fainali Afrika juzi tu, wewe usiyerudisha soka mbele umefika wapi jana?
Peleka mbele pumba zako huko, kushiriki kwenyewe mpaka Simba SC akubebe..!
Wamefukuza Uchebe wameleta kuku kishingo
Unafiki ni kitu kibaya sana. Hivi unaweza kuwaza kusonga mbele ilhali wachezaji wa Kwasu wanavunja mikataba kwasababu ya mishahara.Hakika hii mijitu ya kucheza draft upenuni mwa wahindi hii ni mifisadi tu sawa na majizi tu yale ya kijani. Mijitu inauzi kutwa kurudisha nyuma soka kwa kuwaza kuifunga Yanga tu maisha yote,hakuna kuwaza kusonga mbele?. Huu ni ubwege tu sawa na ya vidole juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulipoishia hiyo michuano robo fainali Kwasu alikuwa kundi gani? Tunakufunga kukuziba mdomo lakini malengo ya Simba kila mdau wa soka anaelewaWewe fikra zako zimeishia ukiifunga Yanga tu?. Hakika kuna namna ya kufanya kuondoa masalia haya ya mafunza
Sent using Jamii Forums mobile app