Hatimaye maproo waanza kuondoka bwawani kanda ya Jangwani[emoji23][emoji23]Timu ifike fainali Club Bingwa Africa,ana mawazo pacha na msema hovyo Manara.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1289483 kocha anaonekana ni mbovu tu, kila game kipigo tu
Kusema kweli hapa tumecheza kamali ukilinganisha na profile ya Aussems
Lakini kwa kuwa mpira ni mchezo wa wazi tusubiri tuone ambacho viongozi wameona.View attachment 1289287View attachment 1289289
Sent using Jamii Forums mobile app
We hujielewi kwa akili yako hiyo record ni mbovu?
Match 4
Home 1 [emoji3581]
Away 3 draw 1 lose 2
Simba home kamfunga al ahly, as vita, nkana, soura aka draw na mazembe
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.. Naona tunarudi zama zile za kumgonga Kwasu 5-0..SimbaNguvuMoja
Hakuna Simba Mo Arena mkuu , angalia vizuri jina la uwanjaAcha zunga, jibu unalo kuna Simba MO Arena..huku wengine wakihangaika na mishahara ya wachezaji [emoji23]
Alaa kumbe! Wewe unaangalia kufundisha timu nyingi, akina Zidane na Pep walifundisha wapi kabla hawajapata mafanikio Madrid, Barcelona..?
Usilete ubishi wako wa kisiasa, hilo ndo azimio la kwanza kutoka kwa wanachama Simba SCHakuna Simba Mo Arena mkuu , angalia vizuri jina la uwanja
Kama anawaza na kuona mbali atalizingatia hiliWeka akiba ya maneno
UD Songo wanakuja haoooo! Doo jamaa umetoka ndukii!Yanga sio level ya simba kwa sasa...simba sc are focusing on ubingwa wa afrika
HaaaaaahaaaaaZambia hawakuweza kuingia kwenye Afcon iliyofanyika Misri lakini timu yao bado ilikuwa na uwezo mkubwa pamoja na kutofanikiwa kuingia Afcon
Haaaaaahaaaaa jinga sana weweHuyu jamaa atakuwa kaletwa kimkakati ili baadae aje kuwa msemaji Wa Simba pindi Manara atapoondoka
Wanakazana kuanza na "Simba" wakati ule uwanja ni "Mo Simba Arena"Hakuna Simba Mo Arena mkuu , angalia vizuri jina la uwanja
Wanakazana kuanza na "Simba" wakati ule uwanja ni "Mo Simba Arena"
Sent using Jamii Forums mobile app