Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Timu ifike fainali Club Bingwa Africa,ana mawazo pacha na msema hovyo Manara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye maproo waanza kuondoka bwawani kanda ya Jangwani[emoji23][emoji23]
IMG_20191212_095241_602.jpeg
 
Una akili sana mkuu, ebu endelea kuwafundisha masomo hawa makocha wa mitandaoni..SimbaNguvuMoja
We hujielewi kwa akili yako hiyo record ni mbovu?

Match 4
Home 1 [emoji3581]
Away 3 draw 1 lose 2

Simba home kamfunga al ahly, as vita, nkana, soura aka draw na mazembe
 
Unajua huyu tunamfunga kwa kumziba mdomo wake, lakini Simba SC Next Level hapo utakuwa umeelewa mkuu.
Yanga sio level ya simba kwa sasa...simba sc are focusing on ubingwa wa afrika
 
Hakuna Simba Mo Arena mkuu , angalia vizuri jina la uwanja
Usilete ubishi wako wa kisiasa, hilo ndo azimio la kwanza kutoka kwa wanachama Simba SC


Angalia hapo kwenye mtandao page ya Simba, by the way hata ikiwa vile unavyofikiri, unadhani utaibadili kijani kuwa nyekundu? Ni kama kusema Arsenal ule uwanja ni wa Emirates si wa Arsenal.


Simba Mo Arena..Mo Simba Arena
IMG_20191212_110128_430.jpeg
 
Mpira wetu huu,ni suala la kusubiri tu! Ila jamaa hana uzoefu na mpira wa Afrika ,ngoja tusubiri ,pengine ndio maana amepewa Matolam kama msaidizi ,kama tulikuwa na Lachantre tukamuona mbaya ,kwa huyu sitii neno muda utaongea!Q
 
Ni mapema sana kumuhukumu. Mpira unachezwa hadharani tutauona uwezo muda si mrefu iwapo Simba imepata au imepatikana.

Kwangu nitafurahi iwapo atakuwa na falsafa ya kushambulia kama ilivyokuwa kwa Uchebe ila nitasikitika sana kama atakuwa na falsafa ya kujilinda kama Lechantre.
 
Back
Top Bottom