Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

Hebu kalale kampa babu chakula yake huku sio mahali pako
 
Maana ukiona mpaka nahodha John Bocco amefunga, basi ujue hapo kuna namna.

Huyu bocco kuna kitu anataka kutuaminisha halaf ligi ikianza tuanze kutafta wachawi
Huwa nawashangaa mnaombeza Bocco. Nakwambia hivi, ukiondoa kelele za kishabiki (za mashabiki wa pande zote mbili), hakuna striker bora mzawa anayemfikia Bocco, sizungumzii kwa rekodi, nazungumzia kwa nyakati hizi za sasa
 
Bocco haram ni uchafu tu
 
Kwa hiyo lile promo la DPW bàsi, sasa uko kwenye soccer?
 
Sasa hivi napiga promo DPW wa sponsor timu yangu ya Pwani Stars.

In shaa Allah mtatuona misimu ijayo, lakini mtatusikia, tunaanzia chini tuweke historia kama waliyoiweka Nottingham Forest miaka ya zamani, Unawajuwa Nottingham Forest wewe?
 
Mambo ya matimu ya mpira ungeachana nayo, wewe pigania ujenzi wa misikiti. Kwa wazo hili, ufadhili wa DPW ni nje nje tofauti na mpira/ kandanda
 
Hao wanafadhili sana michezo, wasome vizuri.

Misikiti ndiyo usiseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…