GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hebu kalale kampa babu chakula yake huku sio mahali pakoWewe nae michezo ya kirafiki si huwa ni mazoezi tu?
Hata huo uwanja wenyewe unaonesha ni wa mazoezi tu.
Nakumbuka Yanga na Simba za
miaka ya 70s zilikuwa zinakwenda Brazil na nchi zingine za Ulaya kwa michezo ya kirafiki. Tena kwa wafadhili ilikuwa kwa mapenzi tu ya mchezo siyo siku hizi kwa kipato.
Sasa jamani mpira umekuwa Tanzania au umeshuka?