utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
huoni kama nyuzi zake zote ni za kuisanifu simba[emoji2957][emoji2957]Ila huyu jamaa ni chawa wa Simba kimtindo mtindo huwezi kukaa 24/7 uko busy na Simba tuu... unaipenda itakua... maana Simba inataradadi JF na anaenzisha nyuzi ni mtu anajiita utopolo [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Iwe kuisanifu au kuisifu kitu kikiwa kichwani kwako na unakua unakiwaza muda wote huo ni uchawa... 😆 😆 😆huoni kama nyuzi zake zote ni za kuisanifu simba[emoji2957][emoji2957]
Mtajipa sana moyo kama wagonjwa wa ukimwiMleta Thread Ameleta Kikuda Simba Inatupa Raha Ikirudi
Wew Yanga ameingiaje hapa wakati tunazungumzia kufungwa Kwa Simba huko uarabuni na timu ya mwishoBora Simba Yanga walikua wanacheza na Mbuni wanapiga bao 17... mashindano wakafurushwa Clun Bingwa
Palipo na Simba Yanga haikosekani..sasa ww Yanga umekuja kufanya nini hapa wakati mechi ni ya Simba??mtanii wacha tuinjoyyWew Yanga ameingiaje hapa wakati tunazungumzia kufungwa Kwa Simba huko uarabuni na timu ya mwisho
Usijisahaulishe Simba imepigwa huko dubaimchezaji wa EPL ndio huyu ?
View attachment 2479750
Imepunguza Nini kwa Simba ?Usijisahaulishe Simba imepigwa huko dubai
Nani Kakwambia Ukimwi Ni UgonjwaMtajipa sana moyo kama wagonjwa wa ukimwi