Simba SC yapokea kichapo kutoka vibonde wa Dubai

Simba SC yapokea kichapo kutoka vibonde wa Dubai

Ila huyu jamaa ni chawa wa Simba kimtindo mtindo huwezi kukaa 24/7 uko busy na Simba tuu... unaipenda itakua... maana Simba inataradadi JF na anaenzisha nyuzi ni mtu anajiita utopolo πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Kwa hiyo, mmesogeza mbele mechi ya ligi ili mkafungwe huko..!!?
 
Aisee makolo wana safar ndefu sana kama kwenye mazoezi yao siku hizi kunakuwa na tuzo ya uchezaji bora
Mbona kama wewe unateseka sana na mazoezi ya simba kuliko timu yako kucheza mechi ya kirafiki na mbunu fc?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnajipooza kwa kuisema Yanga?

Eti kocha wenu anasema anasuka kikosi[emoji1787][emoji1787]
Hivi ni lini mtaacha kuishi kwa matumaini kama wagonjwa wa ukimwi?
Na wasisahau wamesogeza mechi mbele ili wakatie aibu huko
 
Asichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ina maana hata wazee wa hati tiriki, captain BOKO na SAIDAA hawakupata hata la offside?
Kibu D mfungaji bora wa kwenye mazoezi. Haiwezekani Jiisiiemu lazima itakuwa alitembeza bahasha ili wazee wa SeMBe wakamiwe.
 
Yaani Simba imejaza wachezaji wazee sana mkuu
 
Mbona kama wewe unateseka sana na mazoezi ya simba kuliko timu yako kucheza mechi ya kirafiki na mbunu fc?
 
Attachments

  • Yng.jpeg
    Yng.jpeg
    115.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom