mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Aisee hamuishi visingizio nyie. Anyway endeleeni kutafuta hiyo mifumo siku mkiipata tayari tutakuwa tumechukua ligi Kwa mara nyingineAsichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.