mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnajipooza kwa kuisema Yanga?Palipo na Simba Yanga haikosekani..sasa ww Yanga umekuja kufanya nini hapa wakati mechi ni ya Simba??mtanii wacha tuinjoyy
Eti kocha wenu anasema anasuka kikosi[emoji1787][emoji1787]
Hivi ni lini mtaacha kuishi kwa matumaini kama wagonjwa wa ukimwi?